Dalali_wa_kimataifa
Senior Member
- Apr 16, 2025
- 182
- 176
Mkuu Tate wateja tupoo 😂😂😂Humu kuna wateja kweli ndugu dalali! Imagine niliposoma tu hiyo bei, mwili wangu umesisimka!! Bilioni 8 si mchezo.
Ngoja tumalizane na kna mpna then daraja kuzindua tugeuke fasta kurud mjin! Tena muuzaj asipunguze bei ili ushindan upungueHumu kuna wateja kweli ndugu dalali! Imagine niliposoma tu hiyo bei, mwili wangu umesisimka!! Bilioni 8 si mchezo.
Uchawa unalipa au una mix na kuuza donati?Wafanye 6.8Bn tuongee biashara
Akishukashuka mpaka 3 nishtue usisahau hio 8 hapo 2 za dalali kaweka mzigo juu madalali wangese sanaWafanye 6.8Bn tuongee biashara
Sele unamshauri mtu mwenye Bilion 8 kuhusu future?Uyo anaetaka kununua ayo maduka asisahau saiv kuna malls kibao za wachina na zimetapakaa dar mzima
So kwa miaka 3 ijayo kariakoo itakua na upungufu sana wa wawateja sabu watu weng saiv wanaagiza na kununua mizigo toka kwenye izo malls za wachina na kibaya zaidi zinauza vitu bei nafuu sana
Ndio nyumba ni uwekezaji wa kudumu ila tunaangalia ni
Kwa muda gan atatumia angalau kuridisha billion12 maana atainunua bilion9