Maduka ya fedha Dar hatarini kwa ujambazi

Maduka ya fedha Dar hatarini kwa ujambazi

biashara za mpesa izi ni kazi kichaa yani unatembea na hela kubwa risk kubwa afu faida kiduchu
 
Mtu anataka umuwekee 5m kwenye account, akishaweka, unaonyeshwa mguu wa kuku ili umrudishie hizo pesa.
 
Unataka tuweke majini kama yale mnayoyafuga na kuzaa nayo?

Mnaendekeza ukristo na ukafiri mtateseka tu

Angalia Hargeisa mtu yuko barabarani na mapesa anabadilisha hata Hakuna anamuuliza . Hii ndiyo hali tuliyokuwa nayo Zanzibar kabla uvamizi

6405305991_ab8c581c6d_b.jpg
 
Kama unajali kuhusu uislamu basi mshukuru Nyerere kwa kuwafurushia John Okello, sisi tunamlaumu kwa hilo tu.
John Okello hakufurushwa na Nyerere. Alitaka kuchukuwa madaraka . Hakujua kuwa aliwekwa mbele tu kutumiliwa.
 
Uzi mzuri,lakini umeleta Utanganyika na Uzanzibari
Acheni kubaguana
Wazanzibari hatumbagui mtu. Tunadai Nchi yetu iliyovamiwa na Tanganyika. Mbona hatuisemi Kenya au nchi nyengine?Ni kwa kuwa hawajatuvamia
 
Wakishafeli life south africa uleta usela mavi wao bongo, wengi uuishia kula shaba tu.
 
Wamerudi tena!

Enzi za Magu hao wapumbavu walinyang'anywa silaha wote
Nyie nao mmezidi kumtukuza huyo bwana wenu,ujambazi haujawahi kuisha wala kupungua nchi hii kwanza yeye mwenyewe ndio kwanza aliwapa nafasi na vyeo.
 
Back
Top Bottom