Maduka ya GSM hayana jezi mpya za Yanga

[emoji23][emoji23][emoji23] msitutoe kwenye reli,mbona ata Mo ni Yanga,Simba ni biashara ya familia kwa hyo hana budi kuifanya kwa ufasha
hujijui kama hujui jombaa.Mo sio Yanga utachekwa.
 

Kipindi kile cha Magazeti ya Mengi yalivyokua yakimuandika Manji khs mambo ya ufisadi Manji alikua anayanunua magazeti yote asubuhi ukienda vibandani huyakuti.Unadhani Mengi aliwahi kupata hasara kwa magazeti yako yote kununuliwa na habari alieokusudia kufikia wananchi kutokufika?
 

Bila shaka kwny huo ulanguzi GSM anajua anafaidikaje.Ukienda kwny boti za bakhressa za kwenda Zenji pale ofisini kwao wanakwambia tiketi zimeisha kuna mtu alizinunua zote na wanakuelekeza kwa mtu huyo.Ulifika hapo kwa huyo jamaa anakupiga kwa bei ya ulanguzi.

Hua naamini Co. Ya bakhresa inafaidika na jambo hilo la ulanguzi.
 

Biashara haina impaka ndugu yangu, worldwide
 
Jezi kiukweli zimeisha jana imefikia atua watu wanauziana jezi elfu 70 tena karikaoo iyoiyo
 
Jezi kiukweli zimeisha jana imefikia atua watu wanauziana jezi elfu 70 tena karikaoo iyoiyo
Sasa haya ndio madhara yake nayoongelea.
Mi naongea km mshabiki na sio upande wa kibiashara.Kibiashara hakuna shida.
Just imagine sukari ilivyopoteaga na watu tukawa tunauziwa had elfu 5 kwa kilo lkn sababu kuna watu walikuwa wameificha.Mfanyabiashara anafaidika coz anatengeneza faida zaidi ila mlaji unateseka.
 
U r right budd.
 
Kiukweli hii kitu hata Mimi imenikwaza, GSM shops hawana Jezi, huko mtaani zinapatikana kwa Bei ya ulanguzi, na hii inatoa mwanya kwa mzigo feki kupenyezwa.
Ni sold out ule Uzi ni noma aisee kwa kweli ile Jersey ya yanga hasa ile yenye viwatu watu ni kali sana najua zitapatikana hata wenyewe hawakujua kama mwitikio ungekuwa mkubwa namna hii mwenyewe nimeikosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…