NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
hujijui kama hujui jombaa.Mo sio Yanga utachekwa.[emoji23][emoji23][emoji23] msitutoe kwenye reli,mbona ata Mo ni Yanga,Simba ni biashara ya familia kwa hyo hana budi kuifanya kwa ufasha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hujijui kama hujui jombaa.Mo sio Yanga utachekwa.[emoji23][emoji23][emoji23] msitutoe kwenye reli,mbona ata Mo ni Yanga,Simba ni biashara ya familia kwa hyo hana budi kuifanya kwa ufasha
Kolo tunakuelewa msisahau na hili
hakuna kitu km hcho,watu tunakosa jezi hadi uende kkoo unaona ni sawa hyo.
Na yy mwenyewe gsm hana jez kwenye maduka yake unaona ni sawa hyo.Huwez ukasema coz ni biashara bas umpe competitor wako,hyo big NO,coz anaweza kukuhujum pia.
Na nilichosema sio asipewe ila kwenye maduka ya gsm jezi zilitakiwa ziwepo sio kuambiwa mzigo wte umechukuliwa na mtu mmoja ambae ni competitor wake.
Yani leo gsm akanunue jezi zote za Simba kwa vunja bei halafu supply inakuwaje apo?si anaweza amua akafungia ndan tu
chief lengo sio kuingiza pesa tu,lengo pia ni kukuza brand ya klabu.Washabik hawana jezi mpya,mtu kanunua kazifungia ndani au kwenda kuuzwa kwa bei ya ulanguzi.Hzo ni hujuma katka biashara.
Lazima gsm kama main supplier abaki na mzigo .Unakuwaje main supplier na hauna mzigo.
usichoona ni kwamba ukimpa mtu mmoja na ww huna jezi uwezekano wa hyo mtu kutengeneza jezi fake na kuuza kwa faida zaidi ni mkubwa sana tofaut na jezi zingekuwa kwenye maduka yao.
Na navyokwambia distribution haipo maana jezi haziwafikii walengwa.
Navyosikia jezi za njano zenye watuwatu ambazo zimeonekana kupendwa hazipo,je ni kweli zimeisha au ndio yanatengenezwa mazungira ya kufanya demand kuwa kubwa ili kuinfrate bei?
Manara ana jezi za Simba na YangaUngejaribu kwenda kwa manara huwenda ungezikuta
Kiukweli nimeshangazwa.
Nimeenda kununua jezi mpya za Yanga GSM mlimani city nikaambiwa jezi hakuna na zinapatikana sehem moja tu Sandalend kariakoo sababu Sandalend kanunua mzigo wote wa kwanza wa jezi.
Kiukweli nimestaajabu.
Kwa hyo hauwez kupata jezi had uende kariakoo au maeneo ambayo wameuziwa jezi na Sandalend.
Lakini cha ajabu ni kuwa GSM yeye kwenye maduka yake hana jezi halafu mnataka tununue jezi original.
Hivi hyo Sandalend ambaye pia ni mtu wa Simba akiamua kuchakachua hzo jezi tutamlaumu kweli?
Pamoja na kutaka pesa ila GSM unatakiwa uwe na jezi kwenye maduka yako yote muda wote.
Kwa kifup distribution ya hzo jezi haijakaa sawa,lifanyieni kazi.
Sasa haya ndio madhara yake nayoongelea.Jezi kiukweli zimeisha jana imefikia atua watu wanauziana jezi elfu 70 tena karikaoo iyoiyo
U r right budd.Kiukweli nimeshangazwa.
Nimeenda kununua jezi mpya za Yanga GSM mlimani city nikaambiwa jezi hakuna na zinapatikana sehemu moja tu Sandalend Kariakoo sababu Sandalend kanunua mzigo wote wa kwanza wa jezi.
Kiukweli nimestaajabu.
Kwa hiyo hauwez kupata jezi had uende kariakoo au maeneo ambayo wameuziwa jezi na Sandalend.
Lakini cha ajabu ni kuwa GSM yeye kwenye maduka yake hana jezi halafu mnataka tununue jezi original.
Hivi hyo Sandalend ambaye pia ni mtu wa Simba akiamua kuchakachua hzo jezi tutamlaumu kweli?
Pamoja na kutaka pesa ila GSM unatakiwa uwe na jezi kwenye maduka yako yote muda wote.
Kwa kifupi distribution ya hizo jezi haijakaa sawa, lifanyieni kazi.
Ni sold out ule Uzi ni noma aisee kwa kweli ile Jersey ya yanga hasa ile yenye viwatu watu ni kali sana najua zitapatikana hata wenyewe hawakujua kama mwitikio ungekuwa mkubwa namna hii mwenyewe nimeikosaKiukweli hii kitu hata Mimi imenikwaza, GSM shops hawana Jezi, huko mtaani zinapatikana kwa Bei ya ulanguzi, na hii inatoa mwanya kwa mzigo feki kupenyezwa.