kyemo
JF-Expert Member
- Dec 10, 2010
- 570
- 718
Kiukweli nimeshangazwa.
Nimeenda kununua jezi mpya za Yanga GSM mlimani city nikaambiwa jezi hakuna na zinapatikana sehemu moja tu Sandalend Kariakoo sababu Sandalend kanunua mzigo wote wa kwanza wa jezi.
Kiukweli nimestaajabu.
Kwa hiyo hauwez kupata jezi had uende kariakoo au maeneo ambayo wameuziwa jezi na Sandalend.
Lakini cha ajabu ni kuwa GSM yeye kwenye maduka yake hana jezi halafu mnataka tununue jezi original.
Hivi hyo Sandalend ambaye pia ni mtu wa Simba akiamua kuchakachua hzo jezi tutamlaumu kweli?
Pamoja na kutaka pesa ila GSM unatakiwa uwe na jezi kwenye maduka yako yote muda wote.
Kwa kifupi distribution ya hizo jezi haijakaa sawa, lifanyieni kazi.