Maduka ya GSM hayana jezi mpya za Yanga

Maduka ya GSM hayana jezi mpya za Yanga

kyemo

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2010
Posts
570
Reaction score
718
Kiukweli nimeshangazwa.
Nimeenda kununua jezi mpya za Yanga GSM mlimani city nikaambiwa jezi hakuna na zinapatikana sehemu moja tu Sandalend Kariakoo sababu Sandalend kanunua mzigo wote wa kwanza wa jezi.
Kiukweli nimestaajabu.

Kwa hiyo hauwez kupata jezi had uende kariakoo au maeneo ambayo wameuziwa jezi na Sandalend.

Lakini cha ajabu ni kuwa GSM yeye kwenye maduka yake hana jezi halafu mnataka tununue jezi original.

Hivi hyo Sandalend ambaye pia ni mtu wa Simba akiamua kuchakachua hzo jezi tutamlaumu kweli?

Pamoja na kutaka pesa ila GSM unatakiwa uwe na jezi kwenye maduka yako yote muda wote.

Kwa kifupi distribution ya hizo jezi haijakaa sawa, lifanyieni kazi.
 
IMG_4529.jpg

Jezi zenyew zina vibwengo kama wote

Jamaa wanaenda tambikia nazo
 
Kiukweli nimeshangazwa.
Nimeenda kununua jezi mpya za Yanga GSM mlimani city nikaambiwa jezi hakuna na zinapatikana sehem moja tu Sandalend kariakoo sababu Sandalend kanunua mzigo wote wa kwanza wa jezi.
Kiukweli nimestaajabu.
Kwa hyo hauwez kupata jezi had uende kariakoo au maeneo ambayo wameuziwa jezi na Sandalend.

Lakini cha ajabu ni kuwa GSM yeye kwenye maduka yake hana jezi halafu mnataka tununue jezi original.

Hivi hyo Sandalend ambaye pia ni mtu wa Simba akiamua kuchakachua hzo jezi tutamlaumu kweli?

Pamoja na kutaka pesa ila GSM unatakiwa uwe na jezi kwenye maduka yako yote muda wote.

Kwa kifup distribution ya hzo jezi haijakaa sawa,lifanyieni kazi.
Jezi original hazina faida.
Jezi feki au grade B ndiyo zenye faida, na huo ndiyo mzigo utakaouzwa na GSM.
Vunjabei nae atafanya hivyohivyo na hapo ndiyo pesa inapopigwa. Ukiielewa biashara ya nguo hutastaajabu.
 
Hiyo ni biashara, haijalishi anayefanya ni Simba au Yanga. Ukifuatilia hilo sana utakwama maana hata GSM naye ni Simba, ila hataki kuleta masihara kwenye suala la biashara
hakuna kitu km hcho,watu tunakosa jezi hadi uende kkoo unaona ni sawa hyo.
Na yy mwenyewe gsm hana jez kwenye maduka yake unaona ni sawa hyo.Huwez ukasema coz ni biashara bas umpe competitor wako,hyo big NO,coz anaweza kukuhujum pia.
Na nilichosema sio asipewe ila kwenye maduka ya gsm jezi zilitakiwa ziwepo sio kuambiwa mzigo wte umechukuliwa na mtu mmoja ambae ni competitor wake.
Yani leo gsm akanunue jezi zote za Simba kwa vunja bei halafu supply inakuwaje apo?si anaweza amua akafungia ndan tu
 
Kwani lengo ni nini, si ili mradi jezi zimenunuliwa? GSM akinunua jezi zote za Simba kwa Vunjabei, klabu haina shida maana hela zimeshaingia. Labda hujui lengo la kwanza la mfanyabiashara ni kuingiza faida, hayo mengine ya kujali wateja wa mwisho (consumers) huwa ni chaguo la pili, tena liwe moja kwa moja na maslahi yake mfanyabiashara
 
Mkuu nakuelewa sana
 
Kiukweli hii kitu hata Mimi imenikwaza, GSM shops hawana Jezi, huko mtaani zinapatikana kwa Bei ya ulanguzi, na hii inatoa mwanya kwa mzigo feki kupenyezwa.
 
Lawama zote ziende kwa Manara, ni kirusi kilichokuja kuibomoa timu ya wananchi 🐒
 
Kwani lengo ni nini, si ili mradi jezi zimenunuliwa? GSM akinunua jezi zote za Simba kwa Vunjabei, klabu haina shida maana hela zimeshaingia. Labda hujui lengo la kwanza la mfanyabiashara ni kuingiza faida, hayo mengine ya kujali wateja wa mwisho (consumers) huwa ni chaguo la pili, tena liwe moja kwa moja na maslahi yake mfanyabiashara
chief lengo sio kuingiza pesa tu,lengo pia ni kukuza brand ya klabu.Washabik hawana jezi mpya,mtu kanunua kazifungia ndani au kwenda kuuzwa kwa bei ya ulanguzi.Hzo ni hujuma katka biashara.
Lazima gsm kama main supplier abaki na mzigo .Unakuwaje main supplier na hauna mzigo.
usichoona ni kwamba ukimpa mtu mmoja na ww huna jezi uwezekano wa hyo mtu kutengeneza jezi fake na kuuza kwa faida zaidi ni mkubwa sana tofaut na jezi zingekuwa kwenye maduka yao.
Na navyokwambia distribution haipo maana jezi haziwafikii walengwa.
Navyosikia jezi za njano zenye watuwatu ambazo zimeonekana kupendwa hazipo,je ni kweli zimeisha au ndio yanatengenezwa mazungira ya kufanya demand kuwa kubwa ili kuinfrate bei?
 
Kwani GSM mwenyewe si naye ni Simba?
Kiukweli nimeshangazwa.
Nimeenda kununua jezi mpya za Yanga GSM mlimani city nikaambiwa jezi hakuna na zinapatikana sehem moja tu Sandalend kariakoo sababu Sandalend kanunua mzigo wote wa kwanza wa jezi.
Kiukweli nimestaajabu.
Kwa hyo hauwez kupata jezi had uende kariakoo au maeneo ambayo wameuziwa jezi na Sandalend.

Lakini cha ajabu ni kuwa GSM yeye kwenye maduka yake hana jezi halafu mnataka tununue jezi original.

Hivi hyo Sandalend ambaye pia ni mtu wa Simba akiamua kuchakachua hzo jezi tutamlaumu kweli?

Pamoja na kutaka pesa ila GSM unatakiwa uwe na jezi kwenye maduka yako yote muda wote.

Kwa kifup distribution ya hzo jezi haijakaa sawa,lifanyieni kazi.
 
hakuna kitu km hcho,watu tunakosa jezi hadi uende kkoo unaona ni sawa hyo.
Na yy mwenyewe gsm hana jez kwenye maduka yake unaona ni sawa hyo.Huwez ukasema coz ni biashara bas umpe competitor wako,hyo big NO,coz anaweza kukuhujum pia.
Na nilichosema sio asipewe ila kwenye maduka ya gsm jezi zilitakiwa ziwepo sio kuambiwa mzigo wte umechukuliwa na mtu mmoja ambae ni competitor wake.
Yani leo gsm akanunue jezi zote za Simba kwa vunja bei halafu supply inakuwaje apo?si anaweza amua akafungia ndan tu

kwan kachukua bure si kanunua?.. ni sawa uwe unauza maandaz kaja mteja anataka kununua maandaz yote unagoma unamwambia wateja wengine watanunua nini ...[emoji28][emoji28]
 
lakini hii sio biashara ya maandaz ni jezi,mi nachongelea ni muhim gsm kama muuzaji mkuu abaki na mzigo.Mtu akinunua wte yy anauza nn?na issue kubwa ili ku-avoid piracy na ulanguzi kitu ambacho kinatokea ss hv.
 
Kwani GSM mwenyewe si naye ni Simba?
Ndio,Ghalib ni Simba,hata injinia Hersi pia ni Simba,hawajikiti sana kwenye kuandaa timu,ila wanajikita sana kwenye kuuza jezi ambazo ni mali yao wapige hela na kumpa nguvu Msukule balozi bidhaa za gsm.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] msitutoe kwenye reli,mbona ata Mo ni Yanga,Simba ni biashara ya familia kwa hyo hana budi kuifanya kwa ufasha
 
Back
Top Bottom