Maduka ya Kifahari yafungwa Milan, Italia baada ya waandamanaji kuingia mtaani kuipinga Serikali

Maduka ya Kifahari yafungwa Milan, Italia baada ya waandamanaji kuingia mtaani kuipinga Serikali

Kivyovyote Wazungu mwisho wao watakubali kula mikate bila nyama !!!

Burger bila nyama !!!

Kwasababu wao wamekuwa ni sehemu ya Wanafiki wa kiuchumi hawawezi kuisapoti Marekani kuwekwa vikwazo dhidi ya Russian na Iranian
Bado nyinyi maisha yenu yabaki kama hakuna tatizo lalolote kidunia!!

Wazungu wa Ulaya utegemea wengine pakubwa sana

Lkn wenyewe kwasababu za kipesa wamekuwa wakwanza kuwawekewa wengine
Vikwazo ❗

Ikumbukwe Russia wanakisasi na Ulaya Magharibi!!!!!!!!!

Mjue sababu kuanguka kwa Soviet
hakukutokea kwasababu za Kijeshi bali Soviet
imesambaratishwa kiuchumi na nchi za Ulaya Magharibi pamoja na Marekani!!!!

Mbinyo wasasa wa kiuchumi kwa Ulaya Magharibi pamoja na Marekani

Ni mikakati wa muda mrefu wa Russia kupitia China na Iranian!!

Embu jiulize tafakari kiuchumi Ulaya Magharibi
Watafufukaje ??????

Nishati hakuna !!
Na hata ikiwepo bei juu sana tofauti na bei Mchina anapata¿¿¿¿¿

Soko la kimataifa limeshikwa kitambo sana na Mchina

Kitanzi

Wkt Ulaya wanategemea Soko kuu la Marekani

Marekani kaondoshwa na Mchina kwenye Soko la bidhaa la Kimataifa

Kwamaana Marekani nayeye tegemeo lake kuu ni Soko lake la ndani tu !!!
Sio kimataifa ❗

Mbinyo

Mchina kashashinda Kimataifa
Sasa yupo kupambania Soko la ndani la Marekani :FIRE: :BanHammer:

Marekani kupitia Trump wanajaribu kuweka Tozo kubwa la kuingiza bidhaa za China

Japo wapate kupumua kidogo

Marekani
Kwasababu kwasasa wameshindwa Kimataifa

Adui yao yoyote mwenye kulitaka Soko lao la ndani

Wanafikia kupambana na Washirika wao wa Ulaya kwa kuwatoza Tozo nawao kuingiza bidhaa kwenye Soko lao❗

Sasa Ulaya Magharibi wapo kwenye matatizo makubwa zaidi ❗

Ule msemo mtegemea cha ndugu hufa masikini!!

Sasa Ulaya Soko lake kuu ni Marekani ndio ndugu uyo!!!

Ndugu nayeye yupo kwenye kutapatapa kutafuta kubaki hai

PICHA KUBWAAA
Ni Ulaya wenye kutegemea ndugu Marekani!!!

Ndio wataanza kutuimbia Aleluyaaaaa kichina china
tayali wapo kwenye Stage kuanza kuimba mitaani 🤠✍️
 
Wale wenye kudhani hii inatokea Ulaya ni mzozo mdogo basi wawe na subra tu wataongea mengi zaidi
Kumbe kumbe zitakuwa nyingi sana

Sababu Ulaya Magharibi hawakuwa na chaguo zaidi ya kutumia nguvu kubwa kuzuiya
Waandamanaji kuzuiya miundombinu yao kuteketezwa na Waandamanaji!!

Sekeseke hii litaamia na Marekani Canada Brazil nk.
Mataifa ya kiarabu napo watapitia migogoro ya kufanana na Ulaya
Wananchi wataandamana japo vitisho vipo lkn watafanya fujo sio poaa

Dunia ya Marekani inaenda Sambaratika mbele yetu
mbele ya macho yetu

Goma limeanza Ulaya Magharibi litasambaa kote Ulaya litasonga na kwingineko hakuna kupoa:BanHammer:✍️
 
Wahindu wakichoma mwili wa Binadamu
Mnakaa pembeni kusikia vishindo vya kuungua na mwishoni mtasikia kama kibomu vile ndipo kichwa kimekubali kusambaratika !!!!

Kwasasa Ulaya ipo kwenye kuni inateketea mbele yetu
Lkn sisi hatuna cha kufanya kusaidia
Kubakisha kile kilikuwa kabla ya kuanguka kwake!!!

tutasikitika lkn hatuna njia yoyote ya kufanya kusiwepo tukio lasasa na mwendelezo wake✍️
 
Kama isingekua kufadhili viongozi mafisadi tusingeendelea!? Burkinafaso ni mfano hai. Ufaransa alikua akifadhili uasi nchi isitulie yeye anabeba Uranium na madini mengine muhimu. DR Congo nako Belgium,Marekani na Israel wanafanya kama Ufaransa alivyofanya Burkinabe.
We msenge kweli ,marekani na ulaya ndio wanafadhili Hao vibaka wenu wa ccm wanaoawaua na kuwafira kila siku na kukwapua Mali za Uma? Mfano ni hapa hapa shithole Tanzania
 
Back
Top Bottom