dola hakuna mkuu, hata bot wanajuaBaada ya mwendazake kwenda zake na mambo yake ya hovyo hovyo, maduka ya kubadilisha fedha za kigeni (Forex Bureau) yalirejea lakini katika namna ambayo si ya kibiashara.
Ukienda kununua USD kila siku utaambiwa hakuna na siku wakiamua kukuuzia wanakuuzia USD 100 only.
Haya maduka yapo kwaajili ya kununua tu kuuza wanajua wanapouza. Hii si biashara huu ni ujinga.
Nikupongeze kwa kuliona hilo Mdau. Kwa taarifa, sio Arusha tu, hata hapa Mwanza. Mimi binafsi, nimeenda pale kwa wiki tatu mfululizo, bila kuambulia hata dollar moja. Cha kushangaza, wazungu wanamiminika tu pale daily, ila dollars hazitoki. Kwa ufupi, hawa jamaa wanauza dollars hizo kwa watu wao kwa bei ya juu kabisa.Baada ya mwendazake kwenda zake na mambo yake ya hovyo hovyo, maduka ya kubadilisha fedha za kigeni (Forex Bureau) yalirejea lakini katika namna ambayo si ya kibiashara.
Ukienda kununua USD kila siku utaambiwa hakuna na siku wakiamua kukuuzia wanakuuzia USD 100 only.
Haya maduka yapo kwaajili ya kununua tu kuuza wanajua wanapouza. Hii si biashara huu ni ujinga.
Usd zipo sana ingawa si nyingi tatizo hawataki kuuza kwa bei waliyoandika wanakusanya na kuzipeleka kwa watu wao BOT wameshindwa kusimamia hii sector katika kiwango cha kutisha.dola hakuna mkuu, hata bot wanajua
na unajua kitu kikiadimika inakuwa fursa pia
Hili walaumiwe CCM Ndugu yangu, mbona hata Sukari ni hivyo hivyo tu?Baada ya mwendazake kwenda zake na mambo yake ya hovyo hovyo, maduka ya kubadilisha fedha za kigeni (Forex Bureau) yalirejea lakini katika namna ambayo si ya kibiashara.
Ukienda kununua USD kila siku utaambiwa hakuna na siku wakiamua kukuuzia wanakuuzia USD 100 only.
Haya maduka yapo kwaajili ya kununua tu kuuza wanajua wanapouza. Hii si biashara huu ni ujinga.
Bei ya ushemeji ni 2500Bei ya mitaani ni 2785 hadi 2800
Kumkumbuka Jiwe inabidi mtu awe na akili kama zakoMtanikumbuka [emoji23][emoji91]