Maduka ya Uchumi walipofunga TZ, mlishabikia sana humu, sasa na hawa wengine mnawacheka?

Acha kutuletea mambo ya udaku hapa, kuna sehemu ya udaku ninahisi kutakufaa zaidi kuliko hapa, kama unauhakika na hayo unayosema tunaomba utupe ushahidi badala ya kusikiliza maneno ya akina Zitto na kutuletea hapa, lete ushahidi wa hayo mapato kwa mwezi umeyajuaje kama TRA haijatangaza?, sisi sio wadaku kama wewe, kama hayajatangazwa ina maana hatujui, acha kuleta maneno ya mtaani hapa ni hoja zilizo na ushahidi.
 
Mbona the game wanafanya biashara huu unakaribia mwaka wa kumi sasa, tsn wanafanya vizuri tu na private supermakets nyingi zinafanya vizuri, hao Nakumatt, Uchumi wameanza kufanya vibaya kuanzia kwao Kenya, Uganda na mwisho Tanzania, je kufilisika kwa KQ, mtasemaje?, ki ukweli uchumi wa Kenya unapitia wakati mgumu sana, hiyo ndiyo sababu kubwa
 


Kwa kuwa tu wako wazi haimaanishi kwamba wanafanya biashara nzuri, huwezi kujua wanabreak even sehemu gani nyingine nje ya hapo, lkn purchasing power ya Tanzania yetu ni ndogo sana huo ndiyo ukweli, au labda niweke hivi, siyo kwamba hatuwezi kuwa na supermarkets ila soko letu ni dogo kuweza kumudu supermarkets nyingi, hivyo kama TSN na game wanatoboa basi ina maana wameshadaka wateja wachache waliopo na hakuna nafasi kwa supermarkets nyingine, ...
 
Soma report ya Moody kwa undani uielewe yote, wao wanafahamu hayo yote ya madeni ya japan na Marekani? Kwanini hawana wasiwasi na nchi hizo zote badala yake wanaitaja Kenya?, ni sawa na kusema Chris Kirubi amekopa 80% ya utajiri wake, na bado banks zinamtafuta aendelee kukopa, wewe ukienda bank hata kama huna deni kabisa lakini kupewa mkopo ni shida, Japan=Kris Kirubi; Kenya=wewe
 
Mawazo ya kukata tamaa hayo, inamaana kwa sababu Bar ni nyingi watu hawawezi kufungua zingine, au kwa sababu Buses za usafiri ni nyingi basi watu wasianzishe biashara?, unajua maana yw market penetration, siku zote competitors wanatengeneza mazingira yq kuhakikisha anamiliki soko, ukishindwa kupambana naye utafunga biashara na kusema wateja ni wachache, mbona huzungumzii uchumi na Nakumatt kushindwa Kenya na Uganda, au huko kote hakuna wateja kama Tanzania?
 


Ndio ukweli wenyewe, sasa kama unapingana na GDP per capital ya Tanzania sasa siwezi kukusaidia!
 
Si kila investor anayefunga biashara kwenye nchi Fulani tatizo ni sera za nchi hiyo wengine Ni upumbavu wao Tu.

Mfano Imalaseko supermarket si walifunga biashara Kenya kwa hiyo tuseme sera za Kenya Ni mbovu?

Hao Uchumi kila nchi waliyowekeza wanafungasha mfano juzi Tu wamefunga Uganda.

Hao jamaa hata kama hizo sera wangetunga wao bado wangeshindwa Tu sababu hawajielewi.
 
Akili zako za ZWAZWA peleka huko huko kwa MAZWAZWA wenzio mtaa wa lumumba. Ushahidi nimeshaweka humu wa kutosha mara nyingi wa kuonyesha uongo mkubwa wa Serikali hii. Wanakuja na bajeti hewa ya 29 trillions halafu wanaishia kutoa 35% lakini Bunge la MACCM kimyaa likimuogopa dikteta uchwara.

Bajeti ya 2017/18 kuwa shilingi trilioni 31.7

http://m.ippmedia.com/sw/habari/bajeti-ya-serikali-ni-hewa

 
Mjinga mkubwa wewe, Geza ulole amenishauri niachane na wewe otherwise ningekupa somo la bajeti na utoaji wa fedha, kichwa chako kimejaa makamasi huna unalojua, mimi nimekuambia lete ushahidi kwamba TRA inakusanya 600M kwa mwezi, wewe unaleta pesa inayotolewa, pimbi mkubwa
 
Wewe jamaa kwa kupandikiza uzi,sasa mambo ya bajeti yameingiaji umu? Wakati uzi unamuongelea mambo mengine kabisa.
 
Huwezi kuelewa akili finyu. Hujui ukusanyaji wa mapato unaathiri vipi bajeti ya Taifa. Tunadanganywa kwamba mapato ni makubwa lakini ikija kwenye bajeti hela hakuna! Serikali inaishia kutoa less than 50% ya bajeti husika bila kuweka wazi sababu husika za kushindwa kutoa 100% ya bajeti na hapo hapo tunaambiwa uchumi unakuwa kwa more than 6% kila mwaka! Uchumi hewa wa Wadanganyika. Wapumbavu nchi hii ni mtaji mkubwa sana wa chama cha wahuni na mafisadi.

Wewe jamaa kwa kupandikiza uzi,sasa mambo ya bajeti yameingiaji umu? Wakati uzi unamuongelea mambo mengine kabisa.
 
Tukubali hali ya uchumi Afrika imebadilika....hasara angalau kila kona kuanzia South Africa (Airline), Nakumatt, KQ na Wapiga dili nchini. Trump nae kabana midola ya msaada Afrika
 
Tukubali hali ya uchumi Afrika imebadilika....hasara angalau kila kona kuanzia South Africa (Airline), Nakumatt, KQ na Wapiga dili nchini. Trump nae kabana midola ya msaada Afrika
Wewe BAK kichwa chako kinamatatizo sana, na tatizo kubwa huwa huna uwezo wa kufanya analysis badala yake unasikiloza maneno ya wabunge ambao wengi akili zao ni finyu kama zako, ngoja nikuelimishe uone ulivyomjinga.

Bajeti ikipitishwa bungeni haina maana miradi yote itakamilika ndani ya mwaka ule wa bajeti, mwaka 2016 serikali ilitenga trilioni moja katika mwaka ule kwa ajili ya ujenzi wa SGR, lakini ujenzi umeanza mwaka huu, ina maana japo pesa zilitengwa mwaka 2016 lakini zilitolewa mwaka 2017, kwa hiyo ukiangalia kwa ufinyu wa mawazo kama kichwa chako kibovu kilivyo, utasema serikali ilitoa pesa kidogo katika mwaka 2016, pesa zinatengwa lakini hazitoki hadi mradi au uanze au manunuzi yafanyike, vivyo hivyo katika wizara mbalimbali, procurement procedures kawaida ni ndefu zinaingia mwaka wa pili wa bujeti, lakini pesa ni za mwaka uliopita.

Kama mwaka jana serikali imetoa 35% haina maana haina pesa, pesa zimeshatengwa, ndiyo sababu kama mradi ulishapangiwa bajeti mwaka jana, huwezi tena mradi huo huo ukapangiwa bajeti tena mwaka huu, pesa yake ilishawekwa mwaka jana ni swala la utekelezaji na ufuatiliaji tu, acha kusikiliza maneno ya wabunge wasio na akili
 


I know the report u are talking about, where did they say Kenyan economy is on the verge of collapsing?
Go read Moody's and Finch's assessment on SA, Nigeria, Italy, Spain, Greece ndio urudi hapa utuambie if Kenya is really that bad.

These are really strange times in Kenya...politically. So, kindly allow me nurse my apprehensions in peace!
 
There will be no professional report which will mention a word collapse, but that is very unprofessional and inhuman, but if you read between the lines, you will see it
 
https://www.facebook.com/
Haya sasa ona ripoti ya TRA toka Julai hadi September hiyo hapo, wastani kila mwezi ni 1.2 tril. Wewe ni mtu wa hovyo sana, kazi yako ni umbeya kusikiliza makelele ya Zitto bila kutafuta taarifa, sasa uliposema makusanyo ni 600M ulitoa wapi?, angalia usije ukaolewa kwa kusikiliza maneno ya vijiweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…