joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Acha kutuletea mambo ya udaku hapa, kuna sehemu ya udaku ninahisi kutakufaa zaidi kuliko hapa, kama unauhakika na hayo unayosema tunaomba utupe ushahidi badala ya kusikiliza maneno ya akina Zitto na kutuletea hapa, lete ushahidi wa hayo mapato kwa mwezi umeyajuaje kama TRA haijatangaza?, sisi sio wadaku kama wewe, kama hayajatangazwa ina maana hatujui, acha kuleta maneno ya mtaani hapa ni hoja zilizo na ushahidi.Ni ZWAZWA tu ambaye hawezi kuona uchumi wa Tanzania ulivyoanguka. Mapato ya TRA yameshuka hadi bilioni 600 kwa mwezi lakini Serikali inaficha hili lakini mnashangilia kuanguka uchumi wa Kenya kweli nyani haoni kundule. Unadhani kwanini Serikali inaficha hali halisi ya uchumi wa Tanzania? Wanakopa mapesa chungu nzima kwa riba kubwa tena kwa kificho na kuzidi kuliongeza deni la Taifa ambalo nalo linafichwa eti tunalipa 950 billioni kwa mwezi wakati si kweli ni uongo mtupu. Mchawi mbona anajulikana ni huyo dikteta uchwara asiyetaka kushauriwa na sera zake MUFILISI.