Maelekezo haya kwa Walimu wa Manispaa ya Ilemela yapo nchi nzima?

Somaiyo

Senior Member
Joined
Jul 1, 2022
Posts
102
Reaction score
184
Niende kwenye hoja!

Yamekuja maelekezo ya kusainisha waalimu mkataba ambao unamtaka kila mwalimu kufaulisha somo lake kwa asilimia 100. Hakuna mwanafunzi kufeli mtihani wa somo lake! Na kufeli kwao inaanzia B na sio F kama baraza la mitihani linavyo elekeza!

Je, Sikuhiz mwalimu ana sign mikataba miwili ya ajira?

Nimarufuku kutype scheme of work na lesson plans na kwamba zoote ziandikwe kwa mkono,
yaani wakati dunia inaenda digital, ilemela mwalimu anarudishwa analog, badala ya kusimplyfy kaz kuserve muda ili utumike pengine kuboresha taaluma tunaicomplicate kazi ili kumkomoa mwalimu🙃 kwamba hata notisi (nukuu) ziandikwe kwa mkono nimarufuku kukutwa na typed notse!

Sasa mpango kazi wa mwalimu uandikwe kwa mkono, je sylabus inayomuongoza mwalimu kuandaa mpango kazi huo husika kwanini wizara haijaziandaa sylabus hizo kwa mkono? Vipi kuhusu mithani pia wanayotunga waalimu kwanini nayenyewe kuanzia sasa wasiandike kwa mkono?? Tuachane kabisa na habari za kutype?? Turudi in 1990s?

Kwamba Mwalimu atoe majaribio mawili na maswali matano kila siku kwa wanafunzi woote.

Kwa wastani tuchukulie form one na two wanamasomo tisa so 9×5 = 45 hayo ni maswali kwa siku

45 × 5 = 225 hayo ni maswali kwa wiki!

Sijaenda form three na four, je hii imezingatia idadi ya wanafunzi kwa shule husika! Kuna shule form one wako 450 mpka 600 , kiuhalisia kuna mtu unaweza kusahisha maswali 225 kwa watoto 450 mpaka 600 kwa wiki, na bado uandae lesson plan kwa mkono??🙃 Na utambue weknes za watoto na kuwasaidia??

Nyie mlisoma hivyo? Je Mmewafikiria hawa watoto pia lwamba wafanye maswali 225 kwa wiki?? Na mnaona kabisa hilo ni archivable?

Kwa waalimu wa vidato vya pili na nne, mwalimu anapaswa kuotea ufaulu wa watoto, yaani mwalimu atabili ufaulu wa watoto wake anao wafundisha kwa mwaka, na nimarufuku kuweka utabili daraja C WOTE WAANZIE 'B' mpaka A! Hutakiwi kutabiri watoto watapata C, D na F 😂

So skuiz waalimu wanabeti kuhusu ufaulu wa watoto? Mwisho wasiku shule zikifanya udanganyifu kama pale thaqhafa mta shangaaa?

Kwamba Mwalimu anapaswa fanya kazi kwa muda wake binafsi yaani muda wa ziada bila kudai fedha ya kazi ya ziada😂😂 na anapaswa kuwa na maswali 100 ya kuwapa wanafunzi 😂😂 hivi hili hata kwenye sheria ya kazi linakubalika?

Sasa hii ni mikakati ya kuinua taaluma au ni mikakati yakuonekana mnainua taaluma. Nafikiri kunayo laana flani kwenye hii kada!

Kila mtu ni boss wa mwalimu

Kila mtu anauwezo wa kuwapa maelekezo waalimu!!

Na Je huu ndio msimamo wa nchi nzima kuhusu ELIMU? na je Upo waraka unaoelekeza haya?

Wahusika mpo tazameni haya! Kama mnaona yapo sawa haina shida!!
 
Pole mwalimu, Kila halmashauri wanamipango yao. Wewe Saini tu na upige kazi na ukifelisha hakuna watakachokufanya. Wameona mmelala mno hivyo wanatumia njia hiyo kuwa weka tayari muda wote.

Nakala imfikie mpwayungu village

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hataka kama ni mikakati basi ifuate sheria na iwe na impact, isiwe mikakati ya ajabu ajabu ambayo haiko real bali ya kuinstall fear mwisho wamsiku perfomance iwe ya hovyo zaidi
 
Mnasubiri nini KUGOMA mdai posho

Mechanical
Electrical
Wenye levo 3 za VETA Tpa mishahara yao inaanzia 1.6 lkn plus over time kwa mwezi wanakunja 2.8 M mpaka M3 hiyo ni take home hapo wanakuwa wameshakatwa kama laki tisa na kitu

Wana bima kubwaa mno

Alafu Umbwa mwalimu anapata take home Laki 6 [emoji23][emoji23]

●ukimuona mwalimu wa sayansi tambua kuwa alitaka kuwa Engineer au Dr but kutokana na UKAPUKULA akakimbilia UALIMUNI take home Laki 6 wategemezi 70
Poleni saana Wanangu WALIMUU hakika Maisha yenu ni Kama Yule muovu IBILISI

nikisema "WALIMU" mnaitikia kwa kubweka kama Umbwa
 
Niende kwenye hoja!

Yamekuja maelekezo ya kusainisha waalimu mkataba ambao unamtaka kila mwalimu kufaulisha somo lake kwa asilimia 100. Hakuna mwanafunzi kufeli mtihani wa somo lake! Na kufeli kwao inaanzia B na sio F kama baraza la mitihani linavyo elekeza!

Je, Sikuhiz mwalimu ana sign mikataba miwili ya ajira?

Nimarufuku kutype scheme of work na lesson plans na kwamba zoote ziandikwe kwa mkono,
yaani wakati dunia inaenda digital, ilemela mwalimu anarudishwa analog, badala ya kusimplyfy kaz kuserve muda ili utumike pengine kuboresha taaluma tunaicomplicate kazi ili kumkomoa mwalimu[emoji854] kwamba hata notisi (nukuu) ziandikwe kwa mkono nimarufuku kukutwa na typed notse!

Sasa mpango kazi wa mwalimu uandikwe kwa mkono, je sylabus inayomuongoza mwalimu kuandaa mpango kazi huo husika kwanini wizara haijaziandaa sylabus hizo kwa mkono? Vipi kuhusu mithani pia wanayotunga waalimu kwanini nayenyewe kuanzia sasa wasiandike kwa mkono?? Tuachane kabisa na habari za kutype?? Turudi in 1990s?

Kwamba Mwalimu atoe majaribio mawili na maswali matano kila siku kwa wanafunzi woote.

Kwa wastani tuchukulie form one na two wanamasomo tisa so 9×5 = 45 hayo ni maswali kwa siku

45 × 5 = 225 hayo ni maswali kwa wiki!

Sijaenda form three na four, je hii imezingatia idadi ya wanafunzi kwa shule husika! Kuna shule form one wako 450 mpka 600 , kiuhalisia kuna mtu unaweza kusahisha maswali 225 kwa watoto 450 mpaka 600 kwa wiki, na bado uandae lesson plan kwa mkono??[emoji854] Na utambue weknes za watoto na kuwasaidia??

Nyie mlisoma hivyo? Je Mmewafikiria hawa watoto pia lwamba wafanye maswali 225 kwa wiki?? Na mnaona kabisa hilo ni archivable?

Kwa waalimu wa vidato vya pili na nne, mwalimu anapaswa kuotea ufaulu wa watoto, yaani mwalimu atabili ufaulu wa watoto wake anao wafundisha kwa mwaka, na nimarufuku kuweka utabili daraja C WOTE WAANZIE 'B' mpaka A! Hutakiwi kutabiri watoto watapata C, D na F [emoji23]

So skuiz waalimu wanabeti kuhusu ufaulu wa watoto? Mwisho wasiku shule zikifanya udanganyifu kama pale thaqhafa mta shangaaa?

Kwamba Mwalimu anapaswa fanya kazi kwa muda wake binafsi yaani muda wa ziada bila kudai fedha ya kazi ya ziada[emoji23][emoji23] na anapaswa kuwa na maswali 100 ya kuwapa wanafunzi [emoji23][emoji23] hivi hili hata kwenye sheria ya kazi linakubalika?

Sasa hii ni mikakati ya kuinua taaluma au ni mikakati yakuonekana mnainua taaluma. Nafikiri kunayo laana flani kwenye hii kada!

Kila mtu ni boss wa mwalimu

Kila mtu anauwezo wa kuwapa maelekezo waalimu!!

Na Je huu ndio msimamo wa nchi nzima kuhusu ELIMU? na je Upo waraka unaoelekeza haya?

Wahusika mpo tazameni haya! Kama mnaona yapo sawa haina shida!!
Walimu ndio watu pekee wa kupelekewa tu vitu bila kuhoji au kugoma au hata kuuliza yaani ni kama MAZEZETA TU. SO SAD
 
Wekeni ombi la kuongezewa waalimu wasaidizi. Mfano, kila somo, muwe watatu, mkiingiia pamoja kufundisha somo. Yule kiongozi anafundisha, wasaidizi wanawasaidia wenye maswali, na ikiwa ndio kusahihisha hiyo mitihani, kuandaa hiyo plan basi wote mnashiriki.
Elimu Bora ni gharama, na isiwe ni mzigo kwa mwalimu mmoja, wote tuwajibike kulielimisha hili taifa.
 
.
JamiiForums-2066617636.jpg
 
Pole mwalimu wapuue wwe sio punda chapa kazi yako kawaida hayo yote wanayoyataka ayawezekani kufanyika yote lamda hapo watimizie kwenye kuandika scheme na izzo lesson plan kwa mkono na wadanganye na hizo lesson notes za kuandikwa kwa mkono vingine sio muhimu piga chini
 
Back
Top Bottom