Kaluluma
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 468
- 619
Habari za leo wakuu, mimi ni mgeni hapa Dodoma na kama mjuavyo kesho ni siku ya Christmas na nimepanga kutoka kidogo na watu wangu wa karibu ni sehemu gani tutakapopata chakula kizuri kwa bei ambayo ni rafiki kwa Mtanzania wa kawaida itapendeza hata ukinitajia na bei zake, natanguliza shukrani.