Maelekezo kutoka kwa wenyeji wa Dodoma

Maelekezo kutoka kwa wenyeji wa Dodoma

Kaluluma

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
468
Reaction score
619
Habari za leo wakuu, mimi ni mgeni hapa Dodoma na kama mjuavyo kesho ni siku ya Christmas na nimepanga kutoka kidogo na watu wangu wa karibu ni sehemu gani tutakapopata chakula kizuri kwa bei ambayo ni rafiki kwa Mtanzania wa kawaida itapendeza hata ukinitajia na bei zake, natanguliza shukrani.
 
Napitaga huko Dodoma mara kadhaa ni patamu hasa.Nenda maeneo ya Chako ni Chako,Platinum,Mwanga,Malaika,Rain bow (zote baa/resort) halafu malizia Pestana kuna vitu natural kabisaaa,sio kama vya kwenu Dar mikorogo mpaka makalioni.

Usisahau kuleta mrejesho jamvini.

Hahahahahahaha!!
Nashukuru sana mkuu kwa maelekezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napitaga huko Dodoma mara kadhaa ni patamu hasa.Nenda maeneo ya Chako ni Chako,Platinum,Mwanga,Malaika,Rain bow (zote baa/resort) halafu malizia Pestana kuna vitu natural kabisaaa,sio kama vya kwenu Dar mikorogo mpaka makalioni.

Usisahau kuleta mrejesho jamvini.

Hahahahahahaha!!

Sent using Jamii Forums mobile app
😆😆Nashukuru mkuu nimekupata
 
Back
Top Bottom