Maelewano ya Jamii ni Muhimu kuliko Faida za Ki-Uchumi

Maelewano ya Jamii ni Muhimu kuliko Faida za Ki-Uchumi

DP World ndio World Police ?!!!, Hivi unajua DP World sio wavivu wa kutoa mlungula ? Na kwa nchi hii ya 10 % Usishangae kuongezeka kwa mapato kusiwe ongezeko la ufanisi....

Nadhani sihitaji kukupa reference za allegations za corruptions za DP World; Google DP World na Corruption usijisomee mwenyewe....
Allegations mbona kitu cha kawaida sana. Weka proof ya viongozi wetu kupewa Rushwa.
 
Allegations mbona kitu cha kawaida sana. Weka proof ya viongozi wetu kupewa Rushwa.
Kupewa Rushwa na DP World au kuwahi kuchukua Rushwa ?, Kwahio wewe unaweza kwenda kuchumbia mwanamke ambaye ana allegations za kula watoto wake na kuona ni kawaida bila kuhoji, wala kuweka vizingiti?

DP World inafahamika ni wepesi wa kutoa mlungula (siwalaumu ndio mbinu za kibiashara kwenye udhia unapenyeza rupia) lakini kwa kuwafahamu / kufahamu njaa za viongozi wetu ni sawa na kumwambia fisi akuchungie kuku wako..., By the way Nikukumbushe ndani ya miaka hii kumi tu ni viongozi wangapi imebainika wamekula mlungula ?
 
Kwa hiyo research yako imekwambia sehemu zote DP World alizowekeza hajafanya vizuri?

Unajua DP World anafanya kazi hadi saivi kwenye Bandari ngapi duniani? Tena kwa mafanikio makubwa sana?
 
Kwa hiyo research yako imekwambia sehemu zote DP World alizowekeza hajafanya vizuri?

Unajua DP World anafanya kazi hadi saivi kwenye Bandari ngapi duniani? Tena kwa mafanikio makubwa sana?
Kufanya nini na kwa mkataba wa aina gani ?

Hata sisi tuna almasi na kuna watu wanachimba almasi je mkataba wetu ni kama wa Botswana ?

Watu wanadhani ajira zitaongezeka yet UK kuna mtafaruku ulitokea watu lukuki kupunguzwa kazi... (Ingawa hii sio ajabu dunia ya automation ili uweze kushindana na lazima uwe na wafanyakazi wachache iwezwekanavyo)

Watu wanasema makusanyo TRA yatakuwa maradufu yet kuna allegations za DP World Kuepuka kulipa Kodi

Hapa hatuangalii ufanisi pekee karne hii ya machinery nina uhakika hata sisi tugekuwa serious baada ya miaka kumi hatushindwi kuleta hizo cranes na vifaa computerized na kufanya kama wao..., Point niliyokupa ni watu wanaoingilika katika suala la mlungula na wabongo tunajijua wenyewe linapokuja suala la mlungula....
 
Tuelewane halafu tubaki masikini ndicho Nyerere alichoweza kumasikinisha Taifa ili watu waombane chumvi na mlo mmoja
 
Tuelewane halafu tubaki masikini ndicho Nyerere alichoweza kumasikinisha Taifa ili watu waombane chumvi na mlo mmoja
Moja hata muwe matajiri kiasi gani bila maelewano hautapata muda wa kufaidi your financial gains ;Ukizingita faida mojawapo ya uchumi ni kuleta maelewano sababu hamuwezi kuelewana kama resources hazitoshi (mtagombania hizo scarce resources)

By the way unavyosema kuombana chumvi it means chumvi ipo in the first place...,

Hakuna sustainable development ambayo haina three pillars (Social, Economical na Environmental) Kwahio katika kutafuta njia ya maendeleo lazima njia hio iwe inaleta maelewano na sio vinginevyo..., Kama kuna alternative mbili moja inaleta financial gains maradufu na kutokuelewana na nyingine nusu ya financial gains na maelewano the latter ni bora..., sababu kama financial gains zitakuja kwa mifarakano utajikuta pesa unazopata zinagharamikia kutibu majeraha....
 
Nani hajulikani?
IMG_20230811_220736.jpg

Hii Power imeandikwa na nan?
 
Back
Top Bottom