Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Allegations mbona kitu cha kawaida sana. Weka proof ya viongozi wetu kupewa Rushwa.DP World ndio World Police ?!!!, Hivi unajua DP World sio wavivu wa kutoa mlungula ? Na kwa nchi hii ya 10 % Usishangae kuongezeka kwa mapato kusiwe ongezeko la ufanisi....
Nadhani sihitaji kukupa reference za allegations za corruptions za DP World; Google DP World na Corruption usijisomee mwenyewe....
Mkuu, si kuna Polisi na mahakama kwa ajili ya wezi? Kwanini hamuwatumii hao?Kama nakuona unavyotaka Dp wasije ili uendelee kupiga pesa zetu hapo bandarini.
Kupewa Rushwa na DP World au kuwahi kuchukua Rushwa ?, Kwahio wewe unaweza kwenda kuchumbia mwanamke ambaye ana allegations za kula watoto wake na kuona ni kawaida bila kuhoji, wala kuweka vizingiti?Allegations mbona kitu cha kawaida sana. Weka proof ya viongozi wetu kupewa Rushwa.
Kwa hiyo research yako imekwambia sehemu zote DP World alizowekeza hajafanya vizuri?Kupewa Rushwa na DP World au kuwahi kuchukua Rushwa ?, Kwahio wewe unaweza kwenda kuchumbia mwanamke ambaye ana allegations za kula watoto wake na kuona ni kawaida bila kuhoji, wala kuweka vizingiti?
DP World inafahamika ni wepesi wa kutoa mlungula (siwalaumu ndio mbinu za kibiashara kwenye udhia unapenyeza rupia) lakini kwa kuwafahamu / kufahamu njaa za viongozi wetu ni sawa na kumwambia fisi akuchungie kuku wako..., By the way Nikukumbushe ndani ya miaka hii kumi tu ni viongozi wangapi imebainika wamekula mlungula ?
Kufanya nini na kwa mkataba wa aina gani ?Kwa hiyo research yako imekwambia sehemu zote DP World alizowekeza hajafanya vizuri?
Unajua DP World anafanya kazi hadi saivi kwenye Bandari ngapi duniani? Tena kwa mafanikio makubwa sana?
Khaaaaaaa, MBONA makasiriko sana?Kama nakuona unavyotaka Dp wasije ili uendelee kupiga pesa zetu hapo bandarini.
Wafikishie salamu wenzako DP World anakuja na wizi wenu ndo umefika mwisho
Moja hata muwe matajiri kiasi gani bila maelewano hautapata muda wa kufaidi your financial gains ;Ukizingita faida mojawapo ya uchumi ni kuleta maelewano sababu hamuwezi kuelewana kama resources hazitoshi (mtagombania hizo scarce resources)Tuelewane halafu tubaki masikini ndicho Nyerere alichoweza kumasikinisha Taifa ili watu waombane chumvi na mlo mmoja
Mfalme wa DubaiView attachment 2723184
Hii Power imeandikwa na nan?
Mfalme wa Dubaikim
Iyo the Emirate of Dubai unadhani inamaanisha nini?Kimeandikwa wapi hiko cheo? Au jina
Iyo the Emirate of Dubai unadhani inamaanisha nini?
Ulisoma kweli wewe?
Shida iko wapi hapo? Kuna madhara gani?View attachment 2723339
Kwaiyo we unaona sawa tu?
Kungekuwa hakuna madhala mngekuwa mnawachomoa wagombea wa upinzan kwa kigezo cha kutokamilisha kujaza fomu za uchaguzi?Shida iko wapi hapo? Kuna madhara gani?
Jibu swali kuna madhara gani? Acha kubwabwajaKungekuwa hakuna madhala mngekuwa mnawachomoa wagombea wa upinzan kwa kigezo cha kutokamilisha kujaza fomu za uchaguzi?