Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani daaa! binafsi nipo bado speechless,zaidi sioni kama jamaa ana haki yakuexplain coz still lawama na vingine vyote watampa tu,na kimsingi inaumiza...mbaya kuna mwandishi ndio alivalia njuga swala hili kama anafahm in and out juu ya maisha ya Emma kumbe mweupe tu,lakini upande fulani ndio kasababisha Emma kufunguka na kutupa somo juu ya bin-Adam hasa sisi Africans.
naona imekaa upande mmoja zaidi
Mbaya sana hii. Ukiendekeza ndugu watakufilisi au watakuua kwa presha. Adebayor aachane nao kabisa.
Eti awajengee nyumba na kuwalipa mishahara kila mwezi? au sijaelewa hapo?
Inasikitisha sana.
Waswahili tunasema, tenda wema uende zako usingoje shukrani.
Uswahili, umasikini, ujinga na utoto ni tatizo kubwa Afrika.
Dalili za mirija kukata hizi sasa wanatafutwa wachawi wabebeshwe gunia la misumali
Sure,jamaa inabidi akaze Moyo konde maisha yaendeleeepole kk. achana nao. piga maisha