Maelezo binafsi ya Emmanuel Adebayor kuhusu mgogoro wake na Familia yake

Maelezo binafsi ya Emmanuel Adebayor kuhusu mgogoro wake na Familia yake

Nimekosa neno la kuelezea miafrika tulivo!
 
Yani daaa! binafsi nipo bado speechless,zaidi sioni kama jamaa ana haki yakuexplain coz still lawama na vingine vyote watampa tu,na kimsingi inaumiza...mbaya kuna mwandishi ndio alivalia njuga swala hili kama anafahm in and out juu ya maisha ya Emma kumbe mweupe tu,lakini upande fulani ndio kasababisha Emma kufunguka na kutupa somo juu ya bin-Adam hasa sisi Africans.

His explanation imepokelewa vizuri sana, hata shida alizokua anapata Totenham sasa zitaisha, ndugu zake walimpaint kama devil simply because hakuwapa kila wanachotaka

Ndugu lawama haswaa...

BTW, naskia yule mwandishi kamuomba msamaha
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Duuh kwel hii ni changamoto. Inauma sana unapojitoa kuisapoti familia alafu inafanya upuuzi kama huu.😢😢
 
Mbaya sana hii. Ukiendekeza ndugu watakufilisi au watakuua kwa presha. Adebayor aachane nao kabisa.
 
Huyu jamaa kazidi upole sijui niseme huruma. Tha only people im responsible for ni wazazi (hata wakinikwaza vipi, ni lazima kuwatunza), mke na wanangu tu. Hao wengine ntasaidia nikipenda..... Huyu jamaa hajakutana na watu vichwa sugu. Ivi kwani ni wapi wamesema ni lazima kusaidia ndugu zako ?? Jamaa kajitoa sanaaaa alaf wanamuona mseng*. Kujitoa kote huko bado wanamchomea afukuzwe kibarua chake ?? Plus na ndugu wanataka awajengee nyumba ki lazima na hela ya kuwalisha niwape monthly ???? Daaah aisee
Mi hunipelekeshi ki fal.a fal.a hvyo... Kusaidia ndugu nitasaidia ila mpaka niwe nimependa otherwise sitoi hata 100 na hunifanyi chochote *****.

Tena wakinitibua akili ndio nawatema mazima. Vitu vingine nikuendekeza upumbav tu.
 
Mbaya sana hii. Ukiendekeza ndugu watakufilisi au watakuua kwa presha. Adebayor aachane nao kabisa.

Yeah! This touches well my experience. Africa tuna safari ndefu sn. Kwa jinsi tulivyo na akili mbovu Inawezekana hata Dangotte familia yake inamwandama but not revealed to public
 
Kweli kabisa inatokea hiyo, kuna jirani yetu mmoja yuko majuu alikuwa anamtumia mdogo wake na mama mzazi pesa za ujenzi wa nyumba kwa ajili ya familia hiyo lakini cha kushangaza mdogo wake huyo kwa kushirikiana na mama wakala pesa yote ya kufanyia ujenzi Kisha wakatafuta nyumba moja nzuri imemalizika ujenzi wakapiga picha ndani na nje kwenye paa la kigae wakatia picha kwenye bahasha wakamtumia jmaa kuwa hizo picha ndio mjengo wenyewe umeshaisha tuma hela ya kuweka fenicha! Zilipofika na zenyewe wakala pia.
Baada ya muda mshkaji akataka kuwafanyia surprise kuja home bila kuwastua ndugu na mama yake,akaenda direct makazi ya zamani akamkuta bi mkubwa kajikalia zake uwani mshkaji anauliza mama mbona bado hamjahamia nyumba mpya? Bibi akajibu sie tulijua hautarudi tena Africa!
Kwa hiyo haya mambo yanatokea sana kwenye familia nyingi za kiafrika.
 
F.Maywather yeye kasema ata angepata kiasi gani cha pesa kumsahidia mhafrika hiyo kwake ni ndoto,bora akashinde kwenye trein la mwakyembe kutwa Ubungo-posta.Posta-ubungo mpka ziishe.So tujipime most of africans were walking MAITI.
 
Habari ya adebayor kugombana na familia nimeisikia siku nyingi hasa chanzo ni dada zake na mama yake. Kwa jinsi ya hiyo stori napata picha sasa. Mwanzoni EMA alikuwa analalamika mama yake na dada zake wanamloga. Familia za AFRIKA HAZIPISHANI. UKIWA NA MKWANJA kila atataka msaidie kwa lazima hata kama undugu wenu ni wa kugandisha na gundi.
 
Afrika mwenye uwezo siku zote anaonekan mbaya.....bora uwe bandidu....
 
Eti awajengee nyumba na kuwalipa mishahara kila mwezi? au sijaelewa hapo?
 
Eti awajengee nyumba na kuwalipa mishahara kila mwezi? au sijaelewa hapo?

Walahi labda sio mm, mtu hunipandi kichwani kifal.a fal.a hvyo.....Aaaah wewe, yan mali yako umetafuta kwa bidii zako mwenyewe alaf mtu aje akutawale......hata huyo mama akisema anamuachia jamaa radhi haimpati chochote. Mungu si anaona.
 
Inasikitisha sana.

Waswahili tunasema, tenda wema uende zako usingoje shukrani.

Yaaa! Ni kweli...ingawa yeye akungoja shukrani...maneno yalizidi sana

Uswahili, umasikini, ujinga na utoto ni tatizo kubwa Afrika.

Yani apa muda mwingine dharau za mataifa mengine juu ya muafrica naona a sawa tu

Dalili za mirija kukata hizi sasa wanatafutwa wachawi wabebeshwe gunia la misumali

Mimi nadhani ao ndugu wamekaribia kufa sasa kabla hilo aliajatokea wanatafuta mchawi

pole kk. achana nao. piga maisha
Sure,jamaa inabidi akaze Moyo konde maisha yaendeleee
 
Back
Top Bottom