Maelezo binafsi ya Emmanuel Adebayor kuhusu mgogoro wake na Familia yake

Da hii himenifanya kujua kuwa all. Africans are the same.mama Adebayo alikata Simu aliposikia Dogo Ana mtoto maana Ake walitaka awe msela tu wazitumbue hela zake,huyu mke pia awampendi.Hapo kama ni Mimi ata maiti Yangu airudi nyumbani wataishiaga niona ktk TV. Hapo ata kazi ya hao wazazi na ndugu itanipitia juu ya bati
 
His explanation imepokelewa vizuri sana, hata shida alizokua anapata Totenham sasa zitaisha, ndugu zake walimpaint kama devil simply because hakuwapa kila wanachotaka

Ndugu lawama haswaa...

BTW, naskia yule mwandishi kamuomba msamaha

Yaaa, ni kweli kamuomba msamaha mbele ya media ileile, anasema alizongwa na hisia zaidi pasipo kumsikiliza Adebayor, kumbe upande wa pili Kulikuwa na touching story zaidi kuliko upande wa walalamikaji kwamba jamaa atendi hivi kwa familia, amekiri kosa la kiuandishi kwamba kuripoti bila kutafuta story ya upande wa pili
 
Ndugu hawana wema,wao ni lawama tu. Mi kuna mmoja nilikuwa naishi nae nikamsaidia akapata na kijikazi sehem. Basi ikatokea nikapata matatizo hapa nyumbani matokeo yake yy ndio akawa mstari wa mbele kunisema na kuniwekea vikao kwa watu,nikawa nashangaa nikipita kwenda kazini watu wananinyoshea vidole. Mama mmoja ndio siku moja akaja kuniambia,nilichukia sn,nikamwambia mm uwezo wa kuishi nae umefika mwisho either akapange au arudi kwao.
 
He has a year left in a 100,000 pounds a week contract, He is very far away from being poor. He earns in a year what most will never earn in a lifetime even here in UK.

Kimsingi jamaa goto bado analo, tena sana
 
Eti awajengee nyumba kila mtu na awape mkwanja wa kutosha Dah watu wana matatizo kwann usijijengee mwenyewe. Huu ujamaa ndio unaotucost huko mbele hata kama ni mzazi unamkopesha hata hela ya matumizi ila huku ni wajibu damn. Kama mimi Emma nakata kamba mwaka halafu tuwaone watafanyaje sasa
 
One sided story....nothing to comment on. Only him knows the truth.
 
Kimweri;

Family issues in Africa ni Changamoto. Ndugu, pamoja na wazazi wanaamini kabisa ukipata Mafanikio ni Lazima na wao uwasaidie mpaka wafanikiwe. Japo hakuna hata mmoja alieshiriki during the struggle to succeed, Once you are somehow Stable Financially, woote watakuja na kutaka uwaweze vile wao wanataka na sio vile uwezo unaruhusu.

Nakumbuka, Baba yangu Mdogo alianzisha Kampuni ya Ujenzi, ILipoanza kupata Mafanikio, Mzee wangu akataka awe General Manager kwenye hyo Kampuni ya Mdogo wake. Basi Baada ya Baba Mdogo kukataa, wakagombana mpaka leo hawaelewani.

Wakati Mwingi sana, Familia zetu zinachangia kwa kiasi kikubwa sana kuturudisha Nyuma kimaendeleo.

Miezi mitatu tuu baada ya kupata kazi, tayari unaanza kupokea List ya ndugu na wadogo zako wenye shida ya Ada.

Kazi kweli kweli.
 
Last edited by a moderator:
Noel 2014;

Na hii mimi binafsi naona ni changamoto pana na nzuri kwa vijana wa sasa, how?ifike mahala tufanye mambo na tutimize majukumu yetu kwa familia zetu hasa watoto wetu kama ni wajibu wa mzazi kwa mtoto pasipo kutegemea malipo baadae au kutenda kama unawekeza kwenye biashara flani, kesho na kesho kutwa isiwe ni deni kwa mtoto.
 
Last edited by a moderator:
Dah! Sasa nimemuelewa na nadhani na wengi watamuelewa. Kwa maoni yangu ni vizuri kafunguka hata waajiri wake wataelewa kwamba matatizo aliyokuwa nayo kifamilia si madogo.
Kweli tenda wema uende zako usingoje shukrani.

Yaani niliposoma kwakweli nimejisikia huzuni sana na isitoshe Emmanuel is being psychological tortured now. Na inaweza hata ikamfanya asifanye vizuri kwenye career yake anapofikilia mambo yote yanayotokea kwenye familia. Now I do understand when he said his mother is a mchawi.
 
Kimweri;

Dah ndugu story ina gusa Sana'a

Ila mwishoni ndo nimechokaa kabisaa
Eti "he has to build each one a house and give them monthly wage??:what::what:
 
Last edited by a moderator:
From experience don't help relatives it never works, rather have businesses with them and treat them like everybody else.
 
Waafrika wengi hawajui maana ya msaada....hawajui maana ya KUSAIDIWA....kwa kadri unavyomsaidia ndivyo anavyojihalalishia misaada hiyo na kuiweka kwenye list ya haki zake za msingi...kasumba hii ipo mpaka kwenye serikali zetu..viongozi wetu baada kupokea misaada kutoka ULAYA inayochukua kwenye bajeti zao....hawana tena muda wa kuzishughulisha akili zao...hawana tena muda wa kusumbua akili zao na kubuni miradi itakayowafanya wajikwamue kutoka kuwa omba omba....kwao na kwenye akili zao kusaidiwa ni haki yao ya msingi...wanaamini kabisa kuwa maisha yao hayawezi kukamilika bila bila ya kusaidiwa na watu wengine.....kasumba imesambaa hadi kwa wananchi wa afrika ambao nao tayari wanaamini katika misaada....aliyoyasema ADEBAYOR ndio yanayotokea kwenye familia nyingi za kiafrika.....kwa kadri unavyowapa misaada ndivyo unazifubaza akili zao na kuzidi kuwa mazezeta.....kwake yeye ni dhambi kujishughulisha kwa lolote ikiwa kila mwezi ana uhakika wa kupokea cheki yenye dola 10000 kutoka kwa kaka aliyeko ughaibuni.....sababu hii imewapelekea vijana wengi wenye mafanikio kutokomea ughaibuni ili kuzikwepa kero za kumsaidia mtu anayedhani kusaidiwa ni haki yake ya msingi tena huidai kwa fujo...wengi wameoa wanawake wa kidhungu na kuzaa nao ili watoto wao wapate uhakika wa maisha bora kutoka kwa mama anayejua kupambana na maisha......maana angeoa mwanamke wa kiafrika maisha ya waanawe yangetegemea na uwepo wake hapa duniani....Waafrika hwajitumi tena kufanya kazi....badala wanawashangaa wachina wanaofanya kazi usiku na mchana.....mwisho wa siku wanaomba kupiga picha na magari yao ya kifahari bila aibu.....sio kwamba namkosoa muumba katika uumbaji wake lakini nahisi kuna kitu hakiko sawa ndani yetu...sijui ni laana au ni kitu gani.....lakini kuna kitu hakiko sawa ndani YETU.......
 
Dah ndugu story ina gusa Sana'a

Ila mwishoni ndo nimechokaa kabisaa
Eti "he has to build each one a house and give them monthly wage??:what::what:

hahahaha! yani wamempa jamaa nafasi ya u-Mungu,au u-Serikali,kwamba wewe Mungu mbona umenileta duniani na unaniacha niteseke?hii serikali bwana,inashindwa tusaidia wananchi wake kupata makazi bora n.k kumbe wanae ona anastaili kufanya ayo nae ni binadam kama wao,ambae nae kapambana kama ambavyo wao wanatakiwa kupambana na kutengeneza fulsa zao...mimi sielewagi yani kifupi napataga shida sana kuelewa mambo ya staili hii,kumpa lawama binadam mwenzio...kwanini ulaumu?your not attached to anybody you belongs to yourself...ndio mana kila mtu ataondoka duniani kwa mtindo wake na tupo tofauti tofauti
 
Waafrika wengi hawajui maana ya msaada....hawajui maana ya KUSAIDIWA..

Kwa kadri unavyomsaidia ndivyo anavyojihalalishia misaada hiyo na kuiweka kwenye list ya haki zake za msingi...kasumba hii ipo mpaka kwenye serikali zetu..viongozi wetu baada kupokea misaada kutoka ULAYA inayochukua kwenye bajeti zao....

hawana tena muda wa kuzishughulisha akili zao...hawana tena muda wa kusumbua akili zao na kubuni miradi itakayowafanya wajikwamue kutoka kuwa omba omba....kwao na kwenye akili zao kusaidiwa ni haki yao ya msingi...wanaamini kabisa kuwa maisha yao hayawezi kukamilika bila bila ya kusaidiwa na watu wengine.....kasumba imesambaa hadi kwa wananchi wa afrika ambao nao tayari wanaamini katika misaada....aliyoyasema ADEBAYOR ndio yanayotokea kwenye familia nyingi za kiafrika.....

kwa kadri unavyowapa misaada ndivyo unazifubaza akili zao na kuzidi kuwa mazezeta.....kwake yeye ni dhambi kujishughulisha kwa lolote ikiwa kila mwezi ana uhakika wa kupokea cheki yenye dola 10000 kutoka kwa kaka aliyeko ughaibuni.....sababu hii imewapelekea vijana wengi wenye mafanikio kutokomea ughaibuni ili kuzikwepa kero za kumsaidia mtu anayedhani kusaidiwa ni haki yake ya msingi tena huidai kwa fujo...wengi wameoa wanawake wa kidhungu na kuzaa nao ili watoto wao wapate uhakika wa maisha bora kutoka kwa mama anayejua kupambana na maisha....

..maana angeoa mwanamke wa kiafrika maisha ya waanawe yangetegemea na uwepo wake hapa duniani....Waafrika hwajitumi tena kufanya kazi....badala wanawashangaa wachina wanaofanya kazi usiku na mchana.....mwisho wa siku wanaomba kupiga picha na magari yao ya kifahari bila aibu.....sio kwamba namkosoa muumba katika uumbaji wake lakini nahisi kuna kitu hakiko sawa ndani yetu...

sijui ni laana au ni kitu gani.....lakini kuna kitu hakiko sawa ndani YETU.......
 
Eti awajengee nyumba na kuwalipa mishahara kila mwezi? au sijaelewa hapo?

Nafikiri matatizo yetu yapo katika gene za Black people,nafikiri melanin inavyokuwa nyingi na uwezo wa akili unapungua...si bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…