tupe hicho chanzo
ana matatizo huyo adebayor!!.. anashangaa matatizo ya familia yake??.. hatakiwi kuyashangaa as if yeye ni mzungu hayo matatizo ni changamoto tu kutokana na mazingira tunayosihi. Hawa kina Abeid pele, Kalausha Bwalya, Ikwechuku, nk haimaanishi familia zao hazikua na matatizo kama hayo lakini hatujui kwa sababu walijua ku handle kifamilia hayo mambo!.. anachojaribu kutuambia hapa ni kwamba familia yake ina watu wajinga wasio na uelewa akiwemo mama yake!!...yaani nautangazia ulimwengu kuwa ana mama mjinga!!.. haya hata wazungu wenyewe hawafanyi hata kama wana wazazi watata kiasi gani!! shame on him!
Kosa la Emma ni kuwapa ndugu zake pesa na mali. Leo hii akipiga hesabu anajikuta ni nyingi lakini practically zimetumika na hazipo. Wapeni nyavu wakavue wenyewe hao...
Hata ile ya kuwa haijali familia yake na mama yake nayo ilikuwa ya upande mmoja. Changanya zote mbili ndio utaona pande zote.One sided story....nothing to comment on. Only him knows the truth.
Kwa mazingira ya Kiafrika, hao ulioshauri aanze nao pia ndio familia yenyewe!mkuu...ni kweli hapo adebayor ana matatizo...na tatizo kubwa mi kuwa ANA FAMILIA YA WATU WASIORIDHIKA NA WENYE ROHO MBAYA KIASI KWAMBA WANATAMANI AFE HATA LEO ILI WAO WAFURAHI...just imagine...hata wewe ungekuwa adebayor ungefanya nini kwa familia kama hii? ungeomba msaada kwa watu wengine...niambie kwamba kakaosea kusema hapa mtandaoni may be alitakiwa aanzie kwa wajomba na mashangazi na baba na mama wakubwa au wadogo....
ila napata wasiwasi kwa family type hii ya kina mama kakak na dada adebayor...hakuna wanayemsikiliza labda ashuke mungu au atume malaika wake....wewe mtu kalipiwa aende kwa T.B Joshua na bado kasepa....wameendekeza njaa mpaka basi.
lakini hatujasema tenda wema ili ulaumiwe!Inasikitisha sana.
Waswahili tunasema, tenda wema uende zako usingoje shukrani.
Duuh mkuu we hatari
japo kaongelea upande mmoja naweza kukubaliana naye familia nyingi za afrika ni tabu
Awapeeee nyavuu Mara ngapii??
Mara ngapi kawapa mtajii
Vipi kuhusu mdogo wake aliyepelekwa soka academy akapitaa na sim za wanna
Kilaa wakiomba hela za busines hakuna wanachofanya
'Ndugu kama ni boya ni boyaa tu hataa umpee nyavu ataichana aifanye dodoki la kuogea'
Awapeeee nyavuu Mara ngapii??
Mara ngapi kawapa mtajii
Vipi kuhusu mdogo wake aliyepelekwa soka academy akapitaa na sim za wanna
Kilaa wakiomba hela za busines hakuna wanachofanya
Ndugu kama ni boy a ni boyaa tu hataa umpee nyavu ataichana aifanye dodoki la kuogea
Kumbe na wewe ni "footballer"?Familia za kiafrica ni nusu ya laana.
The same story happened to me na ninajuta kuwajua ndugu.
Katu naona aibu kuiweka story yangu hapa but inaniuma kwa walichonifanyia ndg zangu wa tumbo1,baba1 ingawa niliwapa elimu nzuri ili kuufukuza umasikini.
Hivi unaweza msomesha mtu mpaka chuo kikuu alafu wewe uliyemsomesha mtu huyo kwa kutumia mamilioni ya pesa ukamuendea kwa mganga kumroga ili asipate kazi???inaingia akilini hii kweli.
Nawashauri enyi watu,ndg yako ni mwanao wa kumzaa tuu,wengine wote tupa kule.Wazazi pia ni wa kuwasaidia but kwa kiwango cha kawaida ili mradi wawe na maisha ya uhakika wa kula,kulala na matibabu basiiiii,vinginevyo......................
nimekumiss mnooooMekumiccccccc