Maelezo binafsi ya Emmanuel Adebayor kuhusu mgogoro wake na Familia yake

Maelezo binafsi ya Emmanuel Adebayor kuhusu mgogoro wake na Familia yake

tupe hicho chanzo

Kolo Toure admits he 'lost it' with Emmanuel Adebayor in Manchester City bust-up | Football News | ESPN.co.uk

"In any case, with Adebayor it's not the first time and it won't be the last. At Arsenal we often had a similar set-to. We know each other well, maybe too well. In any case that proves we have energy to burn; it's not that negative.''

Huyu jamaa ni kisirani Deo Corleone (hapa kuna kitu ambacho Kolo hawezi kukitamka live, ni wewe ujiongezee akili)
 
Last edited by a moderator:
binafsi nadhani uyu muhariri wa hizi uzi umu ndani kuna muda ujiridhishe,kabla ya kubadili kichwa cha habari na kuupanga katika kuta sahihi inayo endana na dhamira ya uzi wenyewe! mfano ni uzi huu,kwanini?

1.naamini hapa tunazungumzia maisha halisi ya kila siku,muhusika mkuu kuwa mwana michezo aimaanishi kila lianlomuhusu basi liende kwenye jukwaa la michezo,dhamira ya huu uzi si michezo,hakuna mahala popote tunajadili usajili wa Adebayor ama labda kafanya jambo gani uwanjani,ama anaamia timu flani,apa ni maisha yake nje ya michezo.

2.pili heading,nadhani kuna haja pia ya kujiridhisha sio ilimradi kuandika sentensi,nadhani mfano na uzoefu unaweza kuona kwenye vichwa vya habari magazetini kila siku,habari inaweza kuwa moja lakini jinsi uyu alivyoiandika ni sababu tosha kumvuta msomaji na akaacha habari ileile katika gazeti lingine.

Mengine naamini hii ni taaluma yako,pamoja...lakini hii SIO thread ya jukwaa la sports,naamini hivyo na katu sitageuka kuwa jiwe la chumvi.
 
ndugu lawama, very painful experience, ndugu tulizike na kidogo tukipatacho na pia tujifunze kutafuta
 
nimependa hiyo ya kumjengea kila mtu nyumba na kuwalipa mshahara kila mwezi duh...ndio mana juzi Mayweather kaulizwa utaisaidia vp Afrika? kajibu kwani wao wamenisaidia nini mimi? mwisho akamalizia kwamba anawapa kipaumbele watoto wake 3 tu
 
duuh tulishamlaumu Adebayo,mwafrika gani huyu-kumbe familia ndio majanga-afadhali kamwaga story ya upande wake
 
ana matatizo huyo adebayor!!.. anashangaa matatizo ya familia yake??.. hatakiwi kuyashangaa as if yeye ni mzungu hayo matatizo ni changamoto tu kutokana na mazingira tunayosihi. Hawa kina Abeid pele, Kalausha Bwalya, Ikwechuku, nk haimaanishi familia zao hazikua na matatizo kama hayo lakini hatujui kwa sababu walijua ku handle kifamilia hayo mambo!.. anachojaribu kutuambia hapa ni kwamba familia yake ina watu wajinga wasio na uelewa akiwemo mama yake!!...yaani nautangazia ulimwengu kuwa ana mama mjinga!!.. haya hata wazungu wenyewe hawafanyi hata kama wana wazazi watata kiasi gani!! shame on him!

mkuu...ni kweli hapo adebayor ana matatizo...na tatizo kubwa mi kuwa ANA FAMILIA YA WATU WASIORIDHIKA NA WENYE ROHO MBAYA KIASI KWAMBA WANATAMANI AFE HATA LEO ILI WAO WAFURAHI...just imagine...hata wewe ungekuwa adebayor ungefanya nini kwa familia kama hii? ungeomba msaada kwa watu wengine...niambie kwamba kakaosea kusema hapa mtandaoni may be alitakiwa aanzie kwa wajomba na mashangazi na baba na mama wakubwa au wadogo....
ila napata wasiwasi kwa family type hii ya kina mama kakak na dada adebayor...hakuna wanayemsikiliza labda ashuke mungu au atume malaika wake....wewe mtu kalipiwa aende kwa T.B Joshua na bado kasepa....wameendekeza njaa mpaka basi.
 
Kosa la Emma ni kuwapa ndugu zake pesa na mali. Leo hii akipiga hesabu anajikuta ni nyingi lakini practically zimetumika na hazipo. Wapeni nyavu wakavue wenyewe hao...

Awapeeee nyavuu Mara ngapii??
Mara ngapi kawapa mtajii
Vipi kuhusu mdogo wake aliyepelekwa soka academy akapitaa na sim za wanna
Kilaa wakiomba hela za busines hakuna wanachofanya
Ndugu kama ni boy a ni boyaa tu hataa umpee nyavu ataichana aifanye dodoki la kuogea
 
mkuu...ni kweli hapo adebayor ana matatizo...na tatizo kubwa mi kuwa ANA FAMILIA YA WATU WASIORIDHIKA NA WENYE ROHO MBAYA KIASI KWAMBA WANATAMANI AFE HATA LEO ILI WAO WAFURAHI...just imagine...hata wewe ungekuwa adebayor ungefanya nini kwa familia kama hii? ungeomba msaada kwa watu wengine...niambie kwamba kakaosea kusema hapa mtandaoni may be alitakiwa aanzie kwa wajomba na mashangazi na baba na mama wakubwa au wadogo....
ila napata wasiwasi kwa family type hii ya kina mama kakak na dada adebayor...hakuna wanayemsikiliza labda ashuke mungu au atume malaika wake....wewe mtu kalipiwa aende kwa T.B Joshua na bado kasepa....wameendekeza njaa mpaka basi.
Kwa mazingira ya Kiafrika, hao ulioshauri aanze nao pia ndio familia yenyewe!
 
Familia za kiafrica ni nusu ya laana.
The same story happened to me na ninajuta kuwajua ndugu.
Katu naona aibu kuiweka story yangu hapa but inaniuma kwa walichonifanyia ndg zangu wa tumbo1,baba1 ingawa niliwapa elimu nzuri ili kuufukuza umasikini.
Hivi unaweza msomesha mtu mpaka chuo kikuu alafu wewe uliyemsomesha mtu huyo kwa kutumia mamilioni ya pesa ukamuendea kwa mganga kumroga ili asipate kazi???inaingia akilini hii kweli.
Nawashauri enyi watu,ndg yako ni mwanao wa kumzaa tuu,wengine wote tupa kule.Wazazi pia ni wa kuwasaidia but kwa kiwango cha kawaida ili mradi wawe na maisha ya uhakika wa kula,kulala na matibabu basiiiii,vinginevyo......................
 
Duuh mkuu we hatari

Dawa ya jeuri ni kiburi. Na watanyooka hao mbona. Tena kama akiona wanamfatilia fatilia anunue ma investment nchi zingine a settle zake kimya i.e US or Southern America kama Brazil huko kupewa uraia/vibali ni sekunde tu. Kwani lazma kuishi ghana na familia yake mbona dawa ni ndogo tu....awe anatuma hela kwa wazazi. Ushaona mzungu anaendekeza upuuzi wa namna hii ??? Narudia tena kusaidia ndugu sio lazma hata sheria haiwatambui kama ur immediate inheritors, isipokua kwa wazazi na watoto ( familia).
Huyo mama yake mzazi atakua mdogo wake shetani for sure. Watu wanatamani hzo bahati wanakosa. Badala a m support na kua karibu na mwanae na wajukuu ndio kwanza ana haribu. Fu*ck that man !!!
 
Awapeeee nyavuu Mara ngapii??
Mara ngapi kawapa mtajii
Vipi kuhusu mdogo wake aliyepelekwa soka academy akapitaa na sim za wanna
Kilaa wakiomba hela za busines hakuna wanachofanya
'Ndugu kama ni boya ni boyaa tu hataa umpee nyavu ataichana aifanye dodoki la kuogea'

Hahahahahaha,hii nimeipenda zaidi... 'Ndugu kama ni boya ni boyaa tu hataa umpee nyavu ataichana aifanye dodoki la kuogea'
 
Awapeeee nyavuu Mara ngapii??
Mara ngapi kawapa mtajii
Vipi kuhusu mdogo wake aliyepelekwa soka academy akapitaa na sim za wanna
Kilaa wakiomba hela za busines hakuna wanachofanya
Ndugu kama ni boy a ni boyaa tu hataa umpee nyavu ataichana aifanye dodoki la kuogea

Noma sana
 
Kwa kufanya hivi amepunguza mauvimu mengi rohoni maumivu ya ndugu na si MTU mwingine yeyote, lakini haya aliyopitia Adebayo yasijumuishwe na kufanywa ndio waafrika wote walivyo tutakuwa tunafanya makosa makubwa sana kuhukumu kwa mtazamo huo
 
Familia za kiafrica ni nusu ya laana.
The same story happened to me na ninajuta kuwajua ndugu.
Katu naona aibu kuiweka story yangu hapa but inaniuma kwa walichonifanyia ndg zangu wa tumbo1,baba1 ingawa niliwapa elimu nzuri ili kuufukuza umasikini.
Hivi unaweza msomesha mtu mpaka chuo kikuu alafu wewe uliyemsomesha mtu huyo kwa kutumia mamilioni ya pesa ukamuendea kwa mganga kumroga ili asipate kazi???inaingia akilini hii kweli.
Nawashauri enyi watu,ndg yako ni mwanao wa kumzaa tuu,wengine wote tupa kule.Wazazi pia ni wa kuwasaidia but kwa kiwango cha kawaida ili mradi wawe na maisha ya uhakika wa kula,kulala na matibabu basiiiii,vinginevyo......................
Kumbe na wewe ni "footballer"?
 
daah! inatia huruma aisee yaani jamaa kujitoa kote huko kumbe bure kabisa,ingekuwa ni watu baki ndo wanafanyia hivyo isingekuwa na uzito kiasi hicho lakin familia nzima duh ..
 
Back
Top Bottom