Pole sana njoo nikukumbatie ujiskie vizuri..... NjooNikikumbuka mashuhuda wa mwili wamarehemu huwa nalia hadi leo mtoto alilala nafikiri walimpa dawa ya usingizi asubuhi akaamsha mama anamwambia anasikia njaa ampe chakula aende shule kwani gari inapita na yeye bado hajala mama haamki ikabidi aende kwa jirani. Inaumaaa uuuwiiiiii hapana jamani.
Carlos the Jackal fala yule ..... Hana loloteKuna muuwaji very professional kumshinda Carlos the jackal? Mbona mwishowe alidakwa kama kondoo hapo Sudan?? Yuko wapi Sasa hivi??
Ni kweli. Mtu atakae kuja kukudhuru siku za mbeleni huonyesha red flags nyingi sana. Na ukizidharau tayari umekwenda na maji.Mnavyoishi ndani ya nyumba lazima unajua kuwa huwa anaweza nitoa roho siku moja,
Vipi kama alikuwa anatumia mabomu na kwa siku alikuwa anaa watu 400 [emoji23][emoji23][emoji23]Ukiua mtu mmoja kila siku. Kuua watu 160k itakubidi kutumia miaka 438.
Bro, punguza tu hiyo namba, tufanyie discount fanya hata watu 160,yaani hizo sifuri tatu zikate kaaaaaaaah jamani.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umesoma nlichoandika vizuri, nimesema inakadiliwa kaua watu 160,000 either kwa maelekezo yake na wengine kwa mikonk yake mwenyewe
Kwa mujibu wa story za kipindi kile naskia mdogo mtu alikuwa kamshikia bango kuwa yeye amehusika na kifo cha kaka yake (mumewe).Huyu mwanamke itakuwa ndo yeye alimuua mmewe pia. Ikute alilipa watu wamuue mmewe ili arithi mali. Sasa ona Kamuua wifi yake tena. Sasa hata mali kazikosa. Kweli damu ya mtu haipotei bure.
Yeye ameamrisha mauwaji hakuyatekeleza. Anaweza kula mvua ya maisha kadhaa, au akakiri kurukwa akili (pleade insanity) akafunguliwa jarada milembe na kutumikia kifungo huko huku akipewa matibabu kwa muda fulani say miaka 10+ then akaachiwa kwa tiketi ya kupona uwendawazimu wake na kurudi uraiani.Huyu mama anaenda kunyongwa, kulingana na kifungu cha sheria husika labda Jaji amuonee huruma amfunge maisha.
Nahurumia watoto [emoji22][emoji22]
Msamehe mkuu amekosea namba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata kama.
Vita nzima ya madawa Mexico haijaua watu kufikia 50,000. Watu 160k siyo mchezo.
Alikamatwa SUDAN na askari kutoka Ufaransa na wakamchumkua na kwenda nae Ufaransa kifungoni. Check your facts before commenting.Carlos the Jackal hajakamatiwa Sudan. Alikamatiwa France na amehukumiwa maisha pale. If my memory serves me well. I stand to be corrected.
Kuna watu ukiwaambia wanakataa kabisa. Me nayajua fika haya maneno na si maneno ya kusingizia aiseee. Kuna kaukweli ndani yake. Kukuta mstaarabu wa tofauti ni nandra sana. Katika 100,000 ni m'moja.Ukweli usemwe hawana utu nasaba yao na asili ni ukatili kweny pesa kitaa kuna bro bro alifilisiwa na ndugu wa mke hadi watoto wameondoka nao jamaa Kawa broke kinoma ya ameanza upya katafuta kabinti cha handeni
Kabla aliambiwa usioe watu wa Kilimanjaro aya Arusha kaleta ubishi
Kasome kuhusu los zetas na vita walioanzisha mexico chini ya ya miguel trevinoBro, punguza tu hiyo namba, tufanyie discount fanya hata watu 160,yaani hizo sifuri tatu zikate kaaaaaaaah jamani.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
No, money is not the root of all evil. People who put Money first and who worship money before anything are the root of all evil.So sad, money is the root of all evils
Sasa wale si ni jeshi kabisa la wahalifu wauza dawa za kulevya na wanauwa kwa Masses....Kasome kuhusu los zetas na vita walioanzisha mexico chini ya ya miguel trevino
Yaaani tulitaka utuambie mtu m'moja ambae kwa mikono yake bila kushirikisha wenzake ameuwa watu laki moja na elfu sitini tasilimu (160,000)Kasome kuhusu los zetas na vita walioanzisha mexico chini ya ya miguel trevino
Sasa wakati unacomment ulikuwa umesahau kuwa miguel trevino ninayemuongelea ndio huyo former leader wa hilo genge? Kwa hiyo ukiua kwa masses ni sawa?Sasa wale si ni jeshi kabisa la wahalifu wauza dawa za kulevya na wanauwa kwa Masses....
Kwa mikono yake kaua watu ambao official number ni 194 tena wanadai inazidi hapo.Yaaani tulitaka utuambie mtu m'moja ambae kwa mikono yake bila kushirikisha wenzake ameuwa watu laki moja na elfu sitini tasilimu (160,000)
Njoo upewe mihogo umenyePole sana njoo nikukumbatie ujiskie vizuri..... Njoo
Yeye ameamrisha mauwaji hakuyatekeleza. Anaweza kula mvua ya maisha kadhaa, au akakiri kurukwa akili (pleade insanity) akafunguliwa jarada milembe na kutumikia kifungo huko huku akipewa matibabu kwa muda fulani say miaka 10+ then akaachiwa kwa tiketi ya kupona uwendawazimu wake na kurudi uraiani.
Hao waliouwa ndio msala wanao maana ni bora mtu afanye mauwaji katika mazingira ya kujitetea, hasira, au kutokutarajia kufanya mauwaji anaweza kuwa na utetezi. Hawa walikuwa na dhamira kabisa na waliridhia malipo wakamalize maisha ya mtu so hawa wananyongwa hadi kufa.
Ndo uwe makini na unayemuoa au unayeolewa nae, watch outBinadamu huwa tunajisahau sana likija swala la mali. Mtu aliechuma hizo mali amekufa na kuziacha, wewe ulieachiwa tu roho inakutoka mpaka kudhulumu uhai wa mwingine kusahau kuwa hata ukimiliki majumba elfu kumi, mwisho wa siku unaishia kuzikwa kwenye kisehemu kidogo sana cha ardhi.