Yeye ameamrisha mauwaji hakuyatekeleza. Anaweza kula mvua ya maisha kadhaa, au akakiri kurukwa akili (pleade insanity) akafunguliwa jarada milembe na kutumikia kifungo huko huku akipewa matibabu kwa muda fulani say miaka 10+ then akaachiwa kwa tiketi ya kupona uwendawazimu wake na kurudi uraiani.
Hao waliouwa ndio msala wanao maana ni bora mtu afanye mauwaji katika mazingira ya kujitetea, hasira, au kutokutarajia kufanya mauwaji anaweza kuwa na utetezi. Hawa walikuwa na dhamira kabisa na waliridhia malipo wakamalize maisha ya mtu so hawa wananyongwa hadi kufa.