Ni 25% mkuu au wameshusha???Mdada uber sio biashara ni parttime job ya kawaida, ni kama mtu unatoka kigamboni unaenda mlimani city kuliko uende long way bila faida unaweka uber on upate abiria u save hela ya mafuta, Lakini Tz ajira hazitoshi tunaona bora tutumie uber kama kazi goodluck mkuu in fact by uber u can make up to $200/mth hapa Tz lakini majuu madereva wa uber wanapata hadi $2000-3000/mth pia usisahau kutoa 20% yao
Are you sure kuanzia 2000 mkuu??? Mara ya mwisho nimeenda ofisini kwao waliweka tangazo kuwa wanasajili gari za kuanzia mwaka 2003.Kuanzia 2000
Uber wamekua na mambo ya ajabu sanaKwanini mkuu
Tunawafaidisha wao tuUber na Taxify hazimfaidishi Dereva wala owner Wa gari , labda uniambie inampa Dereva uhakika Wa kula na sio kupeleka hesabu
Umeona mkuuUber inawabidi waongeze bei kwakweli. Hata ukiwa abiria sometime unaona aibu na kutoa tip. Haya yakiendelea uber itakufa nchini na hasara itakuwa kwetu sote.
Nadhani tatizo kubwa ni kuwa wameuhamishia mfumo wa marekanj hapa. Kule, madereva wanatumia magari yao binafsi hivyo concept ya hesabu haipo. Kwahiyo bei kuwa ndogo na 25% hazina madhara sana
Kuna rep wao humu, waliangalie hili. dricks
Inabidi waende na uhalisia. Kumplease mteja tu haitoshi. Dereva nae anatakiwa aridhike. Waelewe kuwa hapa nchini watu wanafanya hii kazi kama njia yao kuu ya kuingiza kipato na sio side gig kama business model yao inavyodhani.Umeona mkuu
Umeongea point mkuuInabidi waende na uhalisia. Kumplease mteja tu haitoshi. Dereva nae anatakiwa aridhike. Waelewe kuwa hapa nchini watu wanafanya hii kazi kama njia yao kuu ya kuingiza kipato na sio side gig kama business model yao inavyodhani.
Usijalu zipo kama tatu mpaka january wakiendelea hivi nitaweka tangazo ya kuyauza hapahapaUnatumia gari aina gani mheshimiwa?
Kama ni I.S.T tuwasiliane ukihitaji kuziuza.
Thanks kwa kuelewaUnajua sisi watu wa mikoani hizi kelele za UBER tumeanza kuzisikia muda sana kwanza since ziko huko ughaibuni mpaka sasa bongo niwe muwazi kongole kwa mtoa mada katika pita pita zangu za kufuatilia nini uber wanafanya, changamoto na mafanikio tangu kipindi kile mnataka kugoma this is the best thread I have read compared to all of them! Mleta uzi umechanganua vizuri sana kiasi ambacho mtu yeyote anaetaka kuingia kwenye biashara hii anapata elimu ya kutosha nini ni nini? Na nini si nini?