Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Ulifanya uamuzi wa busara mkuuHiyo biashara imeshakuwa kichaa sasa...simshauri mtu anunue gari aingize huko ataishia kulia kila cku...mm nlitamani sn hii biashara mwaka huu mwanzoni nikamuuliza jamaa yangu mmoja ambae alikuwa anafanya akaniambia hali ngumu sn gari zimekuwa nyingi halaf nauli kiduchu mara hao uber wanatoa tu discount kwa wateja bila kushauriana na watoa huduma.
Poleni sana ndugu zangu
Ndio hivyo mkuuuber ilikuwa mwanzoni kipindi ndio imeingia tz... watu walipiga pesa nyingiiii sana
ila sasa tangu taxfy aje uber kaharibiwa soko then magari yaliyojisajiri uber yakawa mengiiii
siku hizi ni hasara tu
Kulialia tena mkuu while tuna mapendekezo yetu tumeshayawasilisha tunasubiri fatuha tu.Ila nadhani kwa sababu ya kuwa ni biashara huria kwani si unajitoa kwenye hiyo Uber ukiona biashara hailipi.nadhani kuliko kuanza kulialia hapa ni bora kifanya maumuzi ya haraka.unavyozidi kuchelewa gari zako zinazidi kushuka thamani.baadaye utauza kwa bei ya hasara.si unajua magari kama hayo madogo yanauzwa kwa namba yaan A,B,C,au D.
Funguka tukusaidiee unataka kujua kuhusu hesabu ama?
Habari za wakati huu wana jamii forum. Kwa wakati huu ningependa mnifahamishe utaratibu wa biashara ya uber kwa mimi ninayefanya, utaratibu wa malipo ni kutokana na nini? Vipi kuhusu boss mwenye gari na kampuni ya uber?
Natanguliza shukrani.
Hesabu kwa sasa imeshuka mpaka 180,000 wengine wanafanya 150,0000,Ndio mkuu
Hesabu kwa sasa imeshuka mpaka 180,000 wengine wanafanya 150,0000,
Hataivyo wanashauri ni vyema ukanunua gari yenye cc ndogo kuanzia 1300 kushuka chini.
Kwa wiki mzeekwa wiki au kwa mwezi hiyo 150?
Unaweza, sema unatakiwaw kuwa na parmanent driver..Mwenye gari ukitaka u trace gari yako upande wa hesabu na routes inawzekana?....
Current system ni kwamba dereva antakiwa kulipa 25 percent ya makusanyo ya week,Inafanyaje kazi, na system ya malipo ikoje. Faida na insurance kwa mfanyabiashara inakuaje.
Mkuu mafuta yamepanda sanaSalute.niende moja kwa moja kwenye mada mimi nafanya kazi kwa mhindi mashahara wangu ni 250000# hii pesa inanipa changamoto nashindwa kuigawa maana nina familia pia nina wadogo zangu wawili wananitegemea kuna jamaa ananishauri nitafute driving licence then nijiunge na uber akadai yeye anapata mbaka laki 7 per month sasa niko njia panda maana nilikuwa nimeplan nijikite kwenye kilimo cha maharage huko moro hivyo naomamba ushaur niingie uber au kilimo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah ila mtoa mada inaonekana uko njema sana,kipindi flani ulikua unatafuta apartment ya kulipia laki 4 kwa mwezi wkt mshahara wako ni Tsh.250,000.Kweli bongo akili kichwani.
NAFUTA APARTMENT K KOO - JamiiForums
Hahah aisee sawa mkuu,all the best aisee.hahaha unaniharibia cv mkuu.mi naishi tabata kkoo ni rafiki yangu alikuwa anataka ilibidi nijifanye ndio mie
Sent using Jamii Forums mobile app