Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Hiyo biashara imeshakuwa kichaa sasa...simshauri mtu anunue gari aingize huko ataishia kulia kila cku...mm nlitamani sn hii biashara mwaka huu mwanzoni nikamuuliza jamaa yangu mmoja ambae alikuwa anafanya akaniambia hali ngumu sn gari zimekuwa nyingi halaf nauli kiduchu mara hao uber wanatoa tu discount kwa wateja bila kushauriana na watoa huduma.

Poleni sana ndugu zangu
Ulifanya uamuzi wa busara mkuu
 
uber ilikuwa mwanzoni kipindi ndio imeingia tz... watu walipiga pesa nyingiiii sana

ila sasa tangu taxfy aje uber kaharibiwa soko then magari yaliyojisajiri uber yakawa mengiiii

siku hizi ni hasara tu
Ndio hivyo mkuu
 
Ila nadhani kwa sababu ya kuwa ni biashara huria kwani si unajitoa kwenye hiyo Uber ukiona biashara hailipi.nadhani kuliko kuanza kulialia hapa ni bora kifanya maumuzi ya haraka.unavyozidi kuchelewa gari zako zinazidi kushuka thamani.baadaye utauza kwa bei ya hasara.si unajua magari kama hayo madogo yanauzwa kwa namba yaan A,B,C,au D.
Kulialia tena mkuu while tuna mapendekezo yetu tumeshayawasilisha tunasubiri fatuha tu.
 
Habari za wakati huu wana jamii forum. Kwa wakati huu ningependa mnifahamishe utaratibu wa biashara ya uber kwa mimi ninayefanya, utaratibu wa malipo ni kutokana na nini? Vipi kuhusu boss mwenye gari na kampuni ya uber?
Natanguliza shukrani.
 
Uber Poa au?
 
Inafanyaje kazi, na system ya malipo ikoje. Faida na insurance kwa mfanyabiashara inakuaje.
 
Mwenye gari ukitaka u trace gari yako upande wa hesabu na routes inawzekana?....
Unaweza, sema unatakiwaw kuwa na parmanent driver..
Maana itabidi gari na dereva wakasajiliwe uber yaani gari isajiliwe chini ya mmiliki nw sio chini ya dereva.
Pili kuna additional cost for GPS which tracking which will be expensive.
 
Inafanyaje kazi, na system ya malipo ikoje. Faida na insurance kwa mfanyabiashara inakuaje.
Current system ni kwamba dereva antakiwa kulipa 25 percent ya makusanyo ya week,
Kwamfano umepata 300,000 ndani week kabla hujatoa gharama za mafuta basi utalazimika kulipa uber 75,000.
Ambapo utabakiwa 225,000 hapo utoe mafuta na matumizi mengine arafu na hesabu ya boss ibaki.
 
Salute.niende moja kwa moja kwenye mada mimi nafanya kazi kwa mhindi mashahara wangu ni 250000# hii pesa inanipa changamoto nashindwa kuigawa maana nina familia pia nina wadogo zangu wawili wananitegemea kuna jamaa ananishauri nitafute driving licence then nijiunge na uber akadai yeye anapata mbaka laki 7 per month sasa niko njia panda maana nilikuwa nimeplan nijikite kwenye kilimo cha maharage huko moro hivyo naomamba ushaur niingie uber au kilimo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mafuta yamepanda sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom