Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Ulifanya uamuzi wa busara mkuuHiyo biashara imeshakuwa kichaa sasa...simshauri mtu anunue gari aingize huko ataishia kulia kila cku...mm nlitamani sn hii biashara mwaka huu mwanzoni nikamuuliza jamaa yangu mmoja ambae alikuwa anafanya akaniambia hali ngumu sn gari zimekuwa nyingi halaf nauli kiduchu mara hao uber wanatoa tu discount kwa wateja bila kushauriana na watoa huduma.
Poleni sana ndugu zangu