Kaka uber yako ni taxi hz za kawaida au ni gari binafsi ila card yake ni ya biashara na plate no nyeupe?Hawajafanya chochote mkuu ni bla bla tu
Baada ya mafunzo elekezi yanayotolewa office za uber viva tower posta uhuru streat kuna program wanaita kuunganishwa ambayo ili uunganishwe ni lazima uwe na card ya gari iliyosajiliwa kibiashara pili lazima uambatanishe na licence yako ya udereva wa gari ndogo za abiria C1 na mwisho badala ya sticker za Halmashauri zinazotumiwa na tax za kawaida uber zao wanakupa wenyewe mtakatana mbele kwa mbele.Jamani nisaidieni jinsi ya kujiunga, navyojua mimi uber ni gari za watu binafsi sasa kwenye kurejista wananidai car sticker ni ipi hyo? pili wanataka commercial vehicle registration wakati ni gari binafsi je yanipasa kwenda kuchukua upya card ya gari ile ya biashara na plate no nyeupe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari zenye injini ndogo isiyozidi cc 1300, na iwe safi yaani mtu awe comfortable akipanda na dereva akiendesha.Unashauri aina gani za magari zinafaa kutumika? Na kwanini?
Wanagawana na nani? Na uber ama na nani? Kama ni Uber wao Uber wanakata 25% ya kile anacholipwa dereva, lakini kuna kitu kinaitwa 'boost' ama 'surge' hizi husaidia kujaza gap la kukatwa 25% hivyo mwisho wa wiki dereva huwekewa pesa benki na Uber na kujikuta kama hajakatwa chochote badala yake Uber wamemuongezea hela na abiria amelipiwa na Uber kitu kama hichoDereva na Uber wanagawana asilimia ngapi kwa safari?
Kama mnajazwa mwisho wa wiki inamaana kumbe njaa ya muda tu!?..Wanagawana na nani? Na uber ama na nani? Kama ni Uber wao Uber wanakata 25% ya kile anacholipwa dereva, lakini kuna kitu kinaitwa 'boost' ama 'surge' hizi husaidia kujaza gap la kukatwa 25% hivyo mwisho wa wiki dereva huwekea pesa benki na Uber na kujikuta kama hajakatwa chochote badala yake Uber wamemuongezea hela na abiria amelipiwa na Uber kitu kama hicho
Sio kihiivyo. Mfano: Umefanya safari ya sh 14,000/- Uber wakakuongezea 1,250/- tu.Kama mnajazwa mwisho wa wiki inamaana kumbe njaa ya muda tu!?..
Wanawake hawapendi tabu, wanawake wanapenda sana magari. Wanaume ni watu wagumu sana na wanabana sana hela zao ili wakawape wanawake wakapandie Uber jokes hahahaUnazani ni kwani i wateja wengi ni wanawake?
Very possible. Lkn dereva ana mamlaka yote ya kukataa safari hata kama kaipokea hapo mwanzo, akiona mazingira sio rafiki anagoma kwenda. Jukumu la usalama wa gari na dereva ni la dereva mwenyewe.Vipi kuhusu usalama wa dereva anaye endesha uber?hawezi kuitwa na majambazi wkamteka au kuchukua gari
Zote kwa pamoja. Kwa sasa kila kilomita moja ni sh 400, na kila dakika moja ni sh 72.Hivi nikiwa abiria namlipa dereva kutokana na umbali (km) au masaa tutayotembea barabani.?
Hii ipo, wenyewe wanaita kutingisha dishi.Vipi kuhusu tabia ya baadhi ya madereva kuchezea GPS na kuongeza gharama ya safari ? Mfano unaweza kutembea umbali wa 4 km lakini mwisho wa safari itaonekana 12km
Sent using Jamii Forums mobile app