Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Sura yako je nayo haijulikani? Teh teh teh unamfahamu huyu mzee?Nipo wapi?
Hahahaaaa eti nanuka hahahhaaa.
Daaaaah hahahahaaa.
Umenichekesha saaaaaaana aisee.
Eti natumia pafyumu nyuma ya keyboard teh teh teh
Ila nyie watu ni majuhaa kweli.
Yaani mpaka sasa hamjajua mimi ni nani, niko wapi, nafanya nini.....
Ukisikia akili kubwa ndo hii sasa!
Mmebaki kuponda tu....mara sijui masikio....mara kichwa....mara nanuka.
Ukiona hivyo basi ujue hamjui lolote.
Mimi nanuka? Ahahahahahahahaaaaaaaaaaaa
Nyie ni wa kuwahurumia tu.