Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Nipo wapi?

Hahahaaaa eti nanuka hahahhaaa.

Daaaaah hahahahaaa.

Umenichekesha saaaaaaana aisee.

Eti natumia pafyumu nyuma ya keyboard teh teh teh

Ila nyie watu ni majuhaa kweli.

Yaani mpaka sasa hamjajua mimi ni nani, niko wapi, nafanya nini.....

Ukisikia akili kubwa ndo hii sasa!

Mmebaki kuponda tu....mara sijui masikio....mara kichwa....mara nanuka.

Ukiona hivyo basi ujue hamjui lolote.

Mimi nanuka? Ahahahahahahahaaaaaaaaaaaa

Nyie ni wa kuwahurumia tu.
Sura yako je nayo haijulikani? Teh teh teh unamfahamu huyu mzee?

tapatalk_1523429139723.jpeg
 
Hakika sasa umechanganyikiwa kabisa!

So huyo ndo mzee Magembe?

Hahahaaaaaa daaaah!
Nimekuuliza unamfahamu? Sijakwambia ni nani!!!

Kijana JF imekuumbua sana!! Uzinzi umekuponza!! Teh teh teh

Sura vipi mbona huikani? Mzee wa Triple 7 teh teh teh
 
Nimekuuliza unamfahamu? Sijakwambia ni nani!!!

Kijana JF imekuumbua sana!! Uzinzi umekuponza!! Teh teh teh

Sura vipi mbona huikani? Mzee wa Triple 7 teh teh teh

Nimeumbuka nini wakati hakuna anijuaye?

Naitwa nani vile....?

Hahahahahaaa.

Halafu nanuka kama nini?

Hahahahaaa mtahangaika sana na kamwe hamtonijua.

Akili kubwa hii.
 
Nimeumbuka nini wakati hakuna anijuaye?

Naitwa nani vile....?

Hahahahahaaa.

Halafu nanuka kama nini?

Hahahahaaa mtahangaika sana na kamwe hamtonijua.

Akili kubwa hii.
Tumeshakujuaaa sura yako mbayaaa unanuka kama fungo!!

Kichwa chako kama boga muda wote unavaa kapelo na hauna masikio 😀
 
Tumeshakujuaaa sura yako mbayaaa unanuka kama fungo!!

Kichwa chako kama boga muda wote unavaa kapelo na hauna masikio 😀

Hujui chochote ndo maana umebaki unapayuka kama mtoto.

Mara sina masikio....mara nanuka....sijui kichwa kama boga....mara unazungumzia uume wangu!!

Seriously dude? Come on now. Hahahahahaaa

You don’t know shit about me.
 
Hujui chochote ndo maana umebaki unapayuka kama mtoto.

Mara sina masikio....mara nanuka....sijui kichwa kama boga....mara unazungumzia uume wangu!!

Seriously dude? Hahahahahaaa

You don’t know shit about me.
Wadada wanakusema una kilemutuz

Sura yako mbovu na bichwa kama boga

Aisee hadi nyumba yenu nimeijua kumbe tulikua majirani tu!!! Teh teh teh mtoto wa profeseri
 
Wadada wanakusema una kilemutuz

Sura yako mbovu na bichwa kama boga

Aisee hadi nyumba yenu nimeijua kumbe tulikua majirani tu!!! Teh teh teh mtoto wa profeseri

Hahahaaaa! Tulikuwa majirani wapi tena?

Enheee so nyumba yetu iko wapi? Mwananyamala au Triple 777?
 
Ok. Kama umedhamilia kweli nitupie no yako ya wasap. Nikumwagie ubuyu wotee uliosheheni na Mapichapicha..
Na Alert special ajili yako.

NB. Kama utaona nataka no yalo tu, au hutaki kujulikana waweza potezea tu maana sina shida hio
Da vinci naomba ubuyu
 
Haahahaha sawa bwana davinci
 
Hahahaaaa! Tulikuwa majirani wapi tena?

Enheee so nyumba yetu iko wapi? Mwananyamala au Triple 777?
Wewe wajua... teh teh we mwehu kweli kweli!! Then umechanganyikiwa!! Unauliza kwenu au kiwanja chako? Ahahahahah sifa na majivuno nyuma ya keyboard kumbe bichwa limegawanyika kama tuta la viazi.... afu huna masikio umeyapeleka wapiii.....

Ahahahahah JF kiboko jisura hilo watu wamelisanua hahahah
 
Mbonaa kashatoaaa pichaaa jamani au ni yeye kweli?????
 
Back
Top Bottom