Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

TMPDOODLE1523585934651.jpg mkuu naomba aelezo humu
 
Attachments

  • TMPDOODLE1523585960337.jpg
    TMPDOODLE1523585960337.jpg
    34.4 KB · Views: 50
  • TMPDOODLE1523585980757.jpg
    TMPDOODLE1523585980757.jpg
    45 KB · Views: 52
mkuu hapa sijaelewa hii negative, nataka mda huu niikie town
 
Attachments

  • TMPDOODLE1523586147572.jpg
    TMPDOODLE1523586147572.jpg
    39.9 KB · Views: 72
mkuu hapa sijaelewa hii negative, nataka mda huu niikie town
hiyo sio negative mkuu, usiwe na wasiwasi, hayo ni makadirio ya nauli. Inamaanisha nauli ya safari yako itakuwa kati ya tsh 10,00 na 13,000. Na kwasababu una punguzo la asilimia 25, basi kama nauli yako ikiwa 11,000 utalipa 8,000 tu, na ikiwa 10,000 utalipa 7,000 tu

Punguzo lako litaonekana mwishoni kabisa ukimaliza safari yako,pale dereva atakapokuonyesha nauli ya safari
 
0
Natumaini nimejibu swali lako sahihi mkuu. Endelea kutumia huduma za UBER, ufaidike na ofa nyingi zaidi
mkuu kama kunanhizo punguzo kwann zisije kwenye simu yangu kama kawa? hizi 25% kwann zisije ninapoita uber, au nipeni rate ya kawaida, mana hizi mnazoweka zinachanganya, mfano chek hii picha
 
Screenshot_20180413-054546.jpg
 
0

mkuu kama kunanhizo punguzo kwann zisije kwenye simu yangu kama kawa? hizi 25% kwann zisije ninapoita uber, au nipeni rate ya kawaida, mana hizi mnazoweka zinachanganya, mfano chek hii picha
Nimelewa concern yako mkuu, zamani punguzo lilikuwa linaonekana moja kwa moja ukiagiza usafiri, ila kwa sasa kuna marekebisho yanafanyika kwenye app ya Uber, hivyo haionyeshi bei halisi,bali inaonyesha makadirio ya juu na ya chini.

Lakini nikuhakikishie tu, kama umeandikiwa punguzo basi mwisho wa safari yako punguzo litaonekana kabisa kwenye kiasi utakachoambiwa ulipe
 
Mkuu ngoja niandike kwa herufi kubwa! HAYO MAKADIRIO YENU YAWE BEI HALISI, sio makadirio tuu, Kunasiku nimeita uber kwena keko ikaniletea 12k nikaagiza ije alafu kufika ile sehemu ananiambia 19k, hii si haki coz siku mlipa aliyotaja ila nilimlipa kwenye raman yangu na kiasi nilichimuitia,

YANI UNAITA UBER BUDGET INAKULETEA 9560 THRN UKIFIKA 23000 JE UTALIPA?
 
Sawa mkuu, maboresho yanaendelea kufanyika. Ila katika safari, bei huwezi kuongezeka pale kunapokuwa na foleni kubwa; au ukimwambia dereva apite route tofauti na iliyoonyeshwa kwenye app
 
Mkuu hapo umeandika BEU HUWEZI KUONGEZEKA, hebu fafanua
 
Kipindi hiki cha mvua jijini DarEsSalaam, usihangaike.Download app ya uber, ingiza promocode ya ubertz5 ili uenjoy safari ya bure hadi umbali unaogharimu tsh6200
 
Download app ya uber, ingiza promocode ya ubertz5 ili uenjoy safari ya bure hadi umbali unaogharimu tsh6200
 
Uber haina magari, bali inaunganisha madereva na watu wanaohitaji usafiri. Kwahiyo ili usajiliwe kama dereva;inabidi uwe na gari(la binafsi au hata taxi), na leseni halali. Ukifika katika ofisi za Uber zilizopo Viva towers Posta, utaingizwa kwenye system na utapewa maelekezo zaidi. Karibu sana
Kuna gharama za kujiunga na uber kwa dereva?
 
Download app ya uber, ingiza promocode ya ubertz5 ili uenjoy safari ya bure hadi umbali unaogharimu tsh6200
 
Habari wana JF, kwa waliofanya hii biashara ya uber watupe mwanga japo kidogo, coz mna experience kidogo sasa unavyotuambi tu inalipa twende viva tower wengine tupo njombe uku jamani.
 
Back
Top Bottom