dricks
Senior Member
- Oct 13, 2017
- 186
- 109
Angalia nimekutumia PMmkuu siioni hiyo option ya problem with cancellation fee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia nimekutumia PMmkuu siioni hiyo option ya problem with cancellation fee!
hiyo sio negative mkuu, usiwe na wasiwasi, hayo ni makadirio ya nauli. Inamaanisha nauli ya safari yako itakuwa kati ya tsh 10,00 na 13,000. Na kwasababu una punguzo la asilimia 25, basi kama nauli yako ikiwa 11,000 utalipa 8,000 tu, na ikiwa 10,000 utalipa 7,000 tumkuu hapa sijaelewa hii negative, nataka mda huu niikie town
Natumaini nimejibu swali lako sahihi mkuu. Endelea kutumia huduma za UBER, ufaidike na ofa nyingi zaidiView attachment 742899 mkuu naomba aelezo humu
mkuu kama kunanhizo punguzo kwann zisije kwenye simu yangu kama kawa? hizi 25% kwann zisije ninapoita uber, au nipeni rate ya kawaida, mana hizi mnazoweka zinachanganya, mfano chek hii pichaNatumaini nimejibu swali lako sahihi mkuu. Endelea kutumia huduma za UBER, ufaidike na ofa nyingi zaidi
0
mkuu kama kunanhizo punguzo kwann zisije kwenye simu yangu kama kawa? hizi 25% kwann zisije ninapoita uber, au nipeni rate ya kawaida, mana hizi mnazoweka zinachanganya, mfano chek hii picha
Nimelewa concern yako mkuu, zamani punguzo lilikuwa linaonekana moja kwa moja ukiagiza usafiri, ila kwa sasa kuna marekebisho yanafanyika kwenye app ya Uber, hivyo haionyeshi bei halisi,bali inaonyesha makadirio ya juu na ya chini.0
mkuu kama kunanhizo punguzo kwann zisije kwenye simu yangu kama kawa? hizi 25% kwann zisije ninapoita uber, au nipeni rate ya kawaida, mana hizi mnazoweka zinachanganya, mfano chek hii picha
Nimelewa concern yako mkuu, zamani punguzo lilikuwa linaonekana moja kwa moja ukiagiza usafiri, ila kwa sasa kuna marekebisho yanafanyika kwenye app ya Uber, hivyo haionyeshi bei halisi,bali inaonyesha makadirio ya juu na ya chini.
Lakini nikuhakikishie tu, kama umeandikiwa punguzo basi mwisho wa safari yako punguzo litaonekana kabisa kwenye kiasi utakachoambiwa ulipe
Hahaa naona julius katupa kitaulo kakimbia pambano
Sawa mkuu, maboresho yanaendelea kufanyika. Ila katika safari, bei huwezi kuongezeka pale kunapokuwa na foleni kubwa; au ukimwambia dereva apite route tofauti na iliyoonyeshwa kwenye appMkuu ngoja niandike kwa herufi kubwa! HAYO MAKADIRIO YENU YAWE BEI HALISI, sio makadirio tuu, Kunasiku nimeita uber kwena keko ikaniletea 12k nikaagiza ije alafu kufika ile sehemu ananiambia 19k, hii si haki coz siku mlipa aliyotaja ila nilimlipa kwenye raman yangu na kiasi nilichimuitia,
YANI UNAITA UBER BUDGET INAKULETEA 9560 THRN UKIFIKA 23000 JE UTALIPA?
Mkuu hapo umeandika BEU HUWEZI KUONGEZEKA, hebu fafanuaSawa mkuu, maboresho yanaendelea kufanyika. Ila katika safari, bei huwezi kuongezeka pale kunapokuwa na foleni kubwa; au ukimwambia dereva apite route tofauti na iliyoonyeshwa kwenye app
Nimemaanisha bei yaweza kuongezeka kukiwa na foleni kubwaMkuu hapo umeandika BEU HUWEZI KUONGEZEKA, hebu fafanua
Kuna gharama za kujiunga na uber kwa dereva?Uber haina magari, bali inaunganisha madereva na watu wanaohitaji usafiri. Kwahiyo ili usajiliwe kama dereva;inabidi uwe na gari(la binafsi au hata taxi), na leseni halali. Ukifika katika ofisi za Uber zilizopo Viva towers Posta, utaingizwa kwenye system na utapewa maelekezo zaidi. Karibu sana
mkuu kaumbuliwa na nani?Unalo..... limekuganda