kamanda5ch
JF-Expert Member
- Apr 18, 2013
- 210
- 283
Ielezee kwa urefu ili tuelewe ,na tukomeshe wiziHii ipo, wenyewe wanaita kutingisha dishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ielezee kwa urefu ili tuelewe ,na tukomeshe wiziHii ipo, wenyewe wanaita kutingisha dishi.
Hili swali najua ni common: Uber inalipa hailipi?
Jibu lake: Inalipa kidogo sana.
Kwa nini?
Moja, Inategemea, kama unatumia gari lako mwenyewe ama unatumia la mtu mwishowe upeleke hesabu. Kama gari lako utapata kidogo, kama unapeleka hesabu njaa ni kali sana asikwambie mtu
Mbili, Unatumia mafuta ama unatumia gesi. Kama unatumia mafuta hakuna rangi utaacha kuona, kama unatumia gesi utaona hela.
Inshort unapata hela ya mafuta na service ya gari tu, no more!Ukisema kidogo Una maanisha nini mkuu? Tupe figures kwa uzoefu wako kama gari lako kwa siku unaweza kuingisha shilling ngapi na kama sio lako husebu unapeleka ngapi na dereva anabaki na ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmhhhh hii hadi uwe dereva ndo unajua kucheza na hayo mambo, abiria huwezi jua. Ila kwa kifupi utaonekana umeenda km nyingi kumbe sivyo, so hela huongezeka. Sehemu ya sh elf 10 unajikuta unalipa hadi 15, 20 hv nk
Je nikimpatia dreva gari unashauri anipe sh.ngapi kwa siku?
Mim ni dereva nitakupatia hesabu ya week sh 160000Je nikimpatia dreva gari unashauri anipe sh.ngapi kwa siku?
Kwa ufupi km Gari ni yakwako na unapiga kazi mwenyewe uongo lzm upige helaInshort unapata hela ya mafuta na service ya gari tu, no more!
🤣 🤣 🤣 🤣Mpwa ulimaanisha Kimara??
Mkuu (KUMARA)inapatikana mkoa gani!Wakuu, salaam kichwa cha habari kimejieleza hapo juu Hizi ride sharing and car pooling platforms ambazo zinaibuka Kama utitiri nchini how do they make money
Maana naweza kwenda kumara hadi posta halafu nimamlipa dereva, je Uber wanatengenezaje hela..??
Wajuvi wa mambo naombeni shule hapa
Revenue streams zao ni commission wanayokata madereva per ride.... mfano uber wanachukua 15-25% per total fee ya ride moja....So safar moja dereva akilipwa 10,000/= then 1500/=-2500/= ni ya uberWakuu, salaam kichwa cha habari kimejieleza hapo juu Hizi ride sharing and car pooling platforms ambazo zinaibuka Kama utitiri nchini how do they make money
Maana naweza kwenda kumara hadi posta halafu nimamlipa dereva, je Uber wanatengenezaje hela..??
Wajuvi wa mambo naombeni shule hapa
Sijui kwa kweliMwanza vipi hii huduma bado ipo?