Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Ukisema kidogo Una maanisha nini mkuu? Tupe figures kwa uzoefu wako kama gari lako kwa siku unaweza kuingisha shilling ngapi na kama sio lako husebu unapeleka ngapi na dereva anabaki na ngapi?
Hili swali najua ni common: Uber inalipa hailipi?

Jibu lake: Inalipa kidogo sana.

Kwa nini?

Moja, Inategemea, kama unatumia gari lako mwenyewe ama unatumia la mtu mwishowe upeleke hesabu. Kama gari lako utapata kidogo, kama unapeleka hesabu njaa ni kali sana asikwambie mtu

Mbili, Unatumia mafuta ama unatumia gesi. Kama unatumia mafuta hakuna rangi utaacha kuona, kama unatumia gesi utaona hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhal ya hao Uber ,kuna vibaka wa Mwanza wanajiita Bolt au taxfy wale biashala imewashinda kabisa.
 
Je nikimpatia dreva gari unashauri anipe sh.ngapi kwa siku?
 
Wakuu, salaam kichwa cha habari kimejieleza hapo juu Hizi ride sharing and car pooling platforms ambazo zinaibuka Kama utitiri nchini how do they make money

Maana naweza kwenda kumara hadi posta halafu nimamlipa dereva, je Uber wanatengenezaje hela..??

Wajuvi wa mambo naombeni shule hapa
 
Mkuu (KUMARA)inapatikana mkoa gani!
 
Tusubiri waje hata mimi huwa sielewi maana mwisho wa siku na bado kuna bonus huwa wanawalipa madereva kila mwisho wa mwezi.
 
Wakuu, salaam kichwa cha habari kimejieleza hapo juu Hizi ride sharing and car pooling platforms ambazo zinaibuka Kama utitiri nchini how do they make money

Maana naweza kwenda kumara hadi posta halafu nimamlipa dereva, je Uber wanatengenezaje hela..??

Wajuvi wa mambo naombeni shule hapa
Revenue streams zao ni commission wanayokata madereva per ride.... mfano uber wanachukua 15-25% per total fee ya ride moja....So safar moja dereva akilipwa 10,000/= then 1500/=-2500/= ni ya uber

Kwa malipo kwa uber wengi huwa wanadeposit kwenye account zao au madereva wanakatwa moja kwa moja pale mteja anapolipa via atm card (ndo maana madereva uber wengi wakiona payment term ni kadi ya bank huwa wanakataa trip)

So far kwa uber wamereprt loss ya billions kutokana na hv vi promotion wanavyofanya kuvuta wateja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom