SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Embu angalieni clip hii.
Saidoo alipoupiga mpira, kwa angle na mguu aliotumia, ule mpira bila kuingiliwa na mtu mwingine ulitakiwa uzungukezunguke kwenda upande wa kulia lakini kutokana na kuparazwa na mchezaji wa Singida, ule mzunguko ukabadili uelekeo na kuanza kuzungukazunguka kushoto. Utauona vizuri huo mzunguko mpira ukifika juu na ukianza kushuka chini.
Hata hivyo, kwa nini tunatumia nguvu kubwa kuwaelewesha wale wasiotutakia mema?