Maelezo ya kisayansi kumaliza utata wa mpira wa kona mechi ya Simba vs Singida

Maelezo ya kisayansi kumaliza utata wa mpira wa kona mechi ya Simba vs Singida

Mipango ya refa! Jitahidi kuripoti ukweli wa kilichozungumzwa. Punguza ushabiki wa kitoto!

Wamesema ni ''makosa ya kibinadamu''
Mbona hayo makosa ya kibinadamu hayakuonekana kuwa mpira ulitoka?... Makosa ya kibinadamu yatokee upande ambao haukuugusa mpira?. Au refa ni shangazi yako?.
 
Mwenyekiti wa kamati ya waamuzi mapinduzi cup akiwa anahojiwa na vyombo vya habari anasema, Baada ya mechi ya Simba vs Singida kumalizika Kamati walijaribu kupitia marejeo ya tukio la Kona ya utata iliyo zaa goli na walibaini haikustahili kuwa Kona.
Alisema yaliyotokea ni makosa ya kibinadamu.
Wazanzibari wakati mwingine wana ujinga mwingi. Hauwezi kuona FIFA au CAF wanatoa waziwazi ufafanuzi wa namna hii kukosoa uamuzi wa tukio fulani la refa wa mchezo.
 
Kwasasa unazidi kujiaibisha, Kwamujibu wa Mwenyekiti wa kamati ya maamuzi baada ya mechi kamati yake ilifanya marejeo ya matukio tata.

Refa pia alihojiwa kuhusu Kona aliyotoa na kusababisha goli la kusawazisha, Yeye akajibu : Alifikiri mchezaji wa Singida Ali ugusa mpira.
kamati ikafanya marejeo ya tukio husika lakini hawakuona tukio la mchezaji wa Singida kugusa mpira.
Kamati ikatoka na majibu kuwa ni makosa ya kibinadamu.

Kamati ndio Nini?. Hata kamati hukosea. Mbona kwenye mechi ya Singida na Azam, Singida walipewa goli ambalo halikuvuka mstari, na watu wakakubali?. Ule mpira ulikuwa wa Kona.
 
Na nyie si mlishakimbia haya mashindano, mnafanya nini kwenye majadiliano ya mashindano haya?
Tunawasubiri huku, najua saivi Mapinduzi imewafuta machozi baada ya sare na KMC. baada ya Mapinduzi na AFCON tutaendelezea kwanzia hapa ilipoishia.
IMG_20240111_234100.jpg
 
Azam ni wahuni tu kama wahuni wengine. Inawezekana wanayo hiyo video ila wameamua kuibania.

Juzi juzi kwenye hatua ya makundi kwenye mechi moja ya Simba kuna mpira uligonga mwamba ukadunda nje, wakawa wanarudia ile clip na badala ya kumaliza utata kwa kustop kuonyesha jinsi mpira ulipodundia nje ya mstari, wao wakaendelea tu kurudia clip ikiendelea kucheza na matokeo yake wakazidi kukuza mjadala ikaonekana kama Simba imependelewa.

Kumbuka matukio mengine ya offside uwanja wa Uhuru yanayoihusisha Simba, mengine wanakuwaga hawana video, unakuta camera ya usawa wa goli imesogea imekatia upande wa pili mstari wa ulinzi wa Simba kiasi hauwezi kuitumia kujua kama offside ilitokea ama la. Ndiyo maana nawaona kama wahuni tu.
Kuna mechi ya Simba na Geita gold walileta utata hivyohivyo kwa sababu ya kuweka.camera mbili
 
Sawa tujadili kisayansi kama ulivyotaka, tuambie alipiga kwa nyuzi ngapi? Maana huwezi kusema kuwa ulitakiwa uwende kulia ukaenda kushoto bila ku consider kiwango cha huo mkunjo ni nyuzi ngapi. Hizo nyuzi ndizo zitakafanya accuracy ya mpigaji itaelekea wapi
Mtu analeta mada kisayansi anaongelea angle halafu afikirii kuhusu degree. Mpira unaweza kwenda kushoto au kulia bila hata kuguswa na mtu mwingine, inategemea na mkunjo uliopigwa (nyuzi ngapi)
 
Embu angalieni clip hii.

View attachment 2868720

Saidoo alipoupiga mpira, kwa angle na mguu aliotumia, ule mpira bila kuingiliwa na mtu mwingine ulitakiwa uzungukezunguke kwenda upande wa kulia lakini kutokana na kuparazwa na mchezaji wa Singida, ule mzunguko ukabadili uelekeo na kuanza kuzungukazunguka kushoto. Utauona vizuri huo mzunguko mpira ukifika juu na ukianza kushuka chini.

Hata hivyo, kwa nini tunatumia nguvu kubwa kuwaelewesha wale wasiotutakia mema?
Nàpenda Sana Mtu mkweli. Kiujumla nawachukia waongo na wazandiki. Huu ni upashikuna unaokushushia hadhi mbele ya waliokuwa wanakuheshimu. Kamati ya waamuzi imethibitisha tulichokuwa tunasema ule mpira haukuguswa na yeyote toka Singida FG Hadi unavuka msitari ndo ukadakwa na kipa Parapanda. Saidoo aliupiga dochi ndo maana ukakosa target. Lakini mwenzetu mapenzi yamekupofusha Hadi umeamua kujivua nguo. Kwani ukisema ni makosa ya kibinadamu utapungukiwa nini?
 
Kwasasa unazidi kujiaibisha, Kwamujibu wa Mwenyekiti wa kamati ya maamuzi baada ya mechi kamati yake ilifanya marejeo ya matukio tata.

Refa pia alihojiwa kuhusu Kona aliyotoa na kusababisha goli la kusawazisha, Yeye akajibu : Alifikiri mchezaji wa Singida Ali ugusa mpira.
kamati ikafanya marejeo ya tukio husika lakini hawakuona tukio la mchezaji wa Singida kugusa mpira.
Kamati ikatoka na majibu kuwa ni makosa ya kibinadamu.
Mapenzi ya mahaba.
 
Si mmeshaingia fainali kwanini mnatumia nguvu nyingi sana kujitetea? Kamati ya waamuzi Zanzibar wameshatoa maelezo kuwa refa alitoa kona kimakosa.
Hakuna kamati iliyosema haikuwa koma halali
 
Kwasasa unazidi kujiaibisha, Kwamujibu wa Mwenyekiti wa kamati ya maamuzi baada ya mechi kamati yake ilifanya marejeo ya matukio tata.

Refa pia alihojiwa kuhusu Kona aliyotoa na kusababisha goli la kusawazisha, Yeye akajibu : Alifikiri mchezaji wa Singida Ali ugusa mpira.
kamati ikafanya marejeo ya tukio husika lakini hawakuona tukio la mchezaji wa Singida kugusa mpira.
Kamati ikatoka na majibu kuwa ni makosa ya kibinadamu.
Kwani huyo mwenyekiti na refa wanatofauti gani? Unazani refa na mwenyekiti nani alikuwa karibu na tukio?
 
Msimu wote huu mtabaki kila siku mnasema hivyo hivyo wakati watu wanakusanya makombe
Hili ambalo mnashika nafai ya tatu sio kombe hilo lnagombewa? Na unajua kuwa hilo ndio taji kubwa zaidi katika ngazi ya ndani?
 
Embu angalieni clip hii.

View attachment 2868720

Saidoo alipoupiga mpira, kwa angle na mguu aliotumia, ule mpira bila kuingiliwa na mtu mwingine ulitakiwa uzungukezunguke kwenda upande wa kulia lakini kutokana na kuparazwa na mchezaji wa Singida, ule mzunguko ukabadili uelekeo na kuanza kuzungukazunguka kushoto. Utauona vizuri huo mzunguko mpira ukifika juu na ukianza kushuka chini.

Hata hivyo, kwa nini tunatumia nguvu kubwa kuwaelewesha wale wasiotutakia mema?
Hata hivyo, kwa nini tunatumia nguvu kubwa kuwaelewesha wale wasiotutakia mema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazanzibari wakati mwingine wana ujinga mwingi. Hauwezi kuona FIFA au CAF wanatoa waziwazi ufafanuzi wa namna hii kukosoa uamuzi wa tukio fulani la refa wa mchezo.
Mimi hadi napata mashaka kama huu ufafanuzi umetolewa kweli, labda tumeadvance tumeamua kuwa wawazi zaidi
 
Wazanzibari wakati mwingine wana ujinga mwingi. Hauwezi kuona FIFA au CAF wanatoa waziwazi ufafanuzi wa namna hii kukosoa uamuzi wa tukio fulani la refa wa mchezo.
Ni wewe tu huna akili mara ngapi tunaona adhabu zina badilishwa baada ya mechi saa nyingine waamuzi wanafungiwa kisicho badilika ni matokeo tu
 
Back
Top Bottom