Mwenyekiti wa kamati ya waamuzi mapinduzi cup akiwa anahojiwa na vyombo vya habari anasema, Baada ya mechi ya Simba vs Singida kumalizika Kamati walijaribu kupitia marejeo ya tukio la Kona ya utata iliyo zaa goli na walibaini haikustahili kuwa Kona.Embu angalieni clip hii.
View attachment 2868720
Saidoo alipoupiga mpira, kwa angle na mguu aliotumia, ule mpira bila kuingiliwa na mtu mwingine ulitakiwa uzungukezunguke kwenda upande wa kulia lakini kutokana na kuparazwa na mchezaji wa Singida, ule mzunguko ukabadili uelekeo na kuanza kuzungukazunguka kushoto. Utauona vizuri huo mzunguko mpira ukifika juu na ukianza kushuka chini.
Hata hivyo, kwa nini tunatumia nguvu kubwa kuwaelewesha wale wasiotutakia mema?
Hapa hatukuchambulii wewe tu,ni mpaka huyo mwenyekiti wako. Ile ni konaMwenyekiti wa kamati ya waamuzi mapinduzi cup akiwa anahojiwa na vyombo vya habari anasema, Baada ya mechi ya Simba vs Singida kumalizika Kamati walijaribu kupitia marejeo ya tukio la Kona ya utata iliyo zaa goli na walibaini haikustahili kuwa Kona.
Alisema yaliyotokea ni makosa ya kibinadamu.
Kwasasa unazidi kujiaibisha, Kwamujibu wa Mwenyekiti wa kamati ya maamuzi baada ya mechi kamati yake ilifanya marejeo ya matukio tata.Hapa hatukuchambulii wewe tu,ni mpaka huyo mwenyekiti wako. Ile ni kona
Mipango ya refa! Jitahidi kuripoti ukweli wa kilichozungumzwa. Punguza ushabiki wa kitoto!Unatumia nguvu kubwa kwa Jambo la kipumbavu!, Wenye mashindano weshakiri ule ulikuwa upuuzi na mipango ya refa.
Mthenge wwMimi kwa maoni yangu kusema ukweli mimi naona ukweli usemwe tu maana naona naweza nikaongea na katika hatua hii ndugu zangu nafikiri na naona kabisa kuwa kwa muda huu naona na natamani niongee kuhusu haya na nina mengi ya kusema moyoni lakini kuhusu hili acha nichangie hoja kwa kusema ni kweli mnayosema na mimi sina la kusema[emoji38]
Embu angalieni clip hii.
View attachment 2868720
Saidoo alipoupiga mpira, kwa angle na mguu aliotumia, ule mpira bila kuingiliwa na mtu mwingine ulitakiwa uzungukezunguke kwenda upande wa kulia lakini kutokana na kuparazwa na mchezaji wa Singida, ule mzunguko ukabadili uelekeo na kuanza kuzungukazunguka kushoto. Utauona vizuri huo mzunguko mpira ukifika juu na ukianza kushuka chini.
Hata hivyo, kwa nini tunatumia nguvu kubwa kuwaelewesha wale wasiotutakia mema?
Azam ni wahuni tu kama wahuni wengine. Inawezekana wanayo hiyo video ila wameamua kuibania.Tatizo ni Azam tv, wanaweka camera chache wanasababisha tunabishana bila sababu ya msingi
Hayo marejeo waliyofanya nao wametumia clip hizi hizi tunazozijadili wote. Refa alikuwa sahihi. Timu za Tanzania hasa hizi zisizo na uzoefu zina tatizo sugu la kulia lia viwanjani kutafuta huruma ya waamuzi hata pale wanapofanya makosa wenyewe.Kwasasa unazidi kujiaibisha, Kwamujibu wa Mwenyekiti wa kamati ya maamuzi baada ya mechi kamati yake ilifanya marejeo ya matukio tata.
Refa pia alihojiwa kuhusu Kona aliyotoa na kusababisha goli la kusawazisha, Yeye akajibu : Alifikiri mchezaji wa Singida Ali ugusa mpira.
kamati ikafanya marejeo ya tukio husika lakini hawakuona tukio la mchezaji wa Singida kugusa mpira.
Kamati ikatoka na majibu kuwa ni makosa ya kibinadamu.
Sayansi na simba haviwezi kukaa sehem mojaEmbu angalieni clip hii.
View attachment 2868720
Saidoo alipoupiga mpira, kwa angle na mguu aliotumia, ule mpira bila kuingiliwa na mtu mwingine ulitakiwa uzungukezunguke kwenda upande wa kulia lakini kutokana na kuparazwa na mchezaji wa Singida, ule mzunguko ukabadili uelekeo na kuanza kuzungukazunguka kushoto. Utauona vizuri huo mzunguko mpira ukifika juu na ukianza kushuka chini.
Hata hivyo, kwa nini tunatumia nguvu kubwa kuwaelewesha wale wasiotutakia mema?
Na nyie si mlishakimbia haya mashindano, mnafanya nini kwenye majadiliano ya mashindano haya?Si mmeshaingia fainali kwanini mnatumia nguvu nyingi sana kujitetea? Kamati ya waamuzi Zanzibar wameshatoa maelezo kuwa refa alitoa kona kimakosa.