Maelezo ya kisayansi kumaliza utata wa mpira wa kona mechi ya Simba vs Singida

Mipango ya refa! Jitahidi kuripoti ukweli wa kilichozungumzwa. Punguza ushabiki wa kitoto!

Wamesema ni ''makosa ya kibinadamu''
Mbona hayo makosa ya kibinadamu hayakuonekana kuwa mpira ulitoka?... Makosa ya kibinadamu yatokee upande ambao haukuugusa mpira?. Au refa ni shangazi yako?.
 
Wazanzibari wakati mwingine wana ujinga mwingi. Hauwezi kuona FIFA au CAF wanatoa waziwazi ufafanuzi wa namna hii kukosoa uamuzi wa tukio fulani la refa wa mchezo.
 

Kamati ndio Nini?. Hata kamati hukosea. Mbona kwenye mechi ya Singida na Azam, Singida walipewa goli ambalo halikuvuka mstari, na watu wakakubali?. Ule mpira ulikuwa wa Kona.
 
Na nyie si mlishakimbia haya mashindano, mnafanya nini kwenye majadiliano ya mashindano haya?
Tunawasubiri huku, najua saivi Mapinduzi imewafuta machozi baada ya sare na KMC. baada ya Mapinduzi na AFCON tutaendelezea kwanzia hapa ilipoishia.
 
Kuna mechi ya Simba na Geita gold walileta utata hivyohivyo kwa sababu ya kuweka.camera mbili
 
Hapo sawa. Hata mimi nimeelewa. Ile ni kona mwanzoni nilikuwa sikubali.
 
Mtu analeta mada kisayansi anaongelea angle halafu afikirii kuhusu degree. Mpira unaweza kwenda kushoto au kulia bila hata kuguswa na mtu mwingine, inategemea na mkunjo uliopigwa (nyuzi ngapi)
 
Nàpenda Sana Mtu mkweli. Kiujumla nawachukia waongo na wazandiki. Huu ni upashikuna unaokushushia hadhi mbele ya waliokuwa wanakuheshimu. Kamati ya waamuzi imethibitisha tulichokuwa tunasema ule mpira haukuguswa na yeyote toka Singida FG Hadi unavuka msitari ndo ukadakwa na kipa Parapanda. Saidoo aliupiga dochi ndo maana ukakosa target. Lakini mwenzetu mapenzi yamekupofusha Hadi umeamua kujivua nguo. Kwani ukisema ni makosa ya kibinadamu utapungukiwa nini?
 
Mapenzi ya mahaba.
 
Si mmeshaingia fainali kwanini mnatumia nguvu nyingi sana kujitetea? Kamati ya waamuzi Zanzibar wameshatoa maelezo kuwa refa alitoa kona kimakosa.
Hakuna kamati iliyosema haikuwa koma halali
 
Kwani huyo mwenyekiti na refa wanatofauti gani? Unazani refa na mwenyekiti nani alikuwa karibu na tukio?
 
Msimu wote huu mtabaki kila siku mnasema hivyo hivyo wakati watu wanakusanya makombe
Hili ambalo mnashika nafai ya tatu sio kombe hilo lnagombewa? Na unajua kuwa hilo ndio taji kubwa zaidi katika ngazi ya ndani?
 
Hata hivyo, kwa nini tunatumia nguvu kubwa kuwaelewesha wale wasiotutakia mema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazanzibari wakati mwingine wana ujinga mwingi. Hauwezi kuona FIFA au CAF wanatoa waziwazi ufafanuzi wa namna hii kukosoa uamuzi wa tukio fulani la refa wa mchezo.
Mimi hadi napata mashaka kama huu ufafanuzi umetolewa kweli, labda tumeadvance tumeamua kuwa wawazi zaidi
 
Wazanzibari wakati mwingine wana ujinga mwingi. Hauwezi kuona FIFA au CAF wanatoa waziwazi ufafanuzi wa namna hii kukosoa uamuzi wa tukio fulani la refa wa mchezo.
Ni wewe tu huna akili mara ngapi tunaona adhabu zina badilishwa baada ya mechi saa nyingine waamuzi wanafungiwa kisicho badilika ni matokeo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…