Maelfu Iran waendelea kuamsha popo, maandamano yako pale pale licha ya serikali kuwaua kisa dini

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Leo jumanne wananchi wa Iran wametikisa kote kote...

Protesters in Iran led a fresh bout of demonstrations on Tuesday to commemorate 2019 Bloody November protests over fuel prices — protests which were ultimately put down by government force.

It comes after more than two months of protests against the death of 22-year-old Kurdish woman Jini Mahsa Amini while in custody of the country's notorious morality police.

Iranian authorities have sought to crack down on the protests. A court sentenced what it described as a "rioter" to death and handed jail terms to other anti-government protesters.

For several days, activists posted online about commemorating the 2019 protests. Others spread written material in person to circumvent internet restrictions.
 
kuunasibisha uislamu na dini ya kishia ni makosa makubwa na upindishaji wa taarifa usiovumilika, MK254 hata kama una chuki na uislamu man up mkuu habari ya kuhusisha uislamu na dini ya kishia ni upotoshaji mkubwa sana hao mashia wana dini yao na sisi tuna dini yetu.

asante.
 
Dini ya kishia ndio ipi, leo mnageukana, wote hao husema allah akbar kabla kufanya maovu yao.
Uislamu wenyewe unajichukia, hakuna anayeuchukia, binafsi sijawahi hata kuhangaika kutaka kuujua huo uislamu maana matendo yenu ni dhahiri.
 
Aisee
 
Mashia wana swala yao wanayoijua wao, wana kila kitu tofauti na uislamu na sisi huwapiga vita kwa elimu duniani kote na kuwaharibia mipango yao ya kusambaza uyahudi kwa mlango wa nyuma.

Muasisi wa ushia ni abdullahi ibn saba' naye alikuwa myahudi, sisi tuko mbali nao na wao wako mbali na sisi.Ama uislamu ni dini ya amani isiyoruhusu damu ya mtu kumwagwa pasi na sababu bali uislamu umekataza kabisa mambo ya migomo na maandamano.

Na hao wanaosema allahu akbar kisha wakachinja watu mfano wa ISIS, boko haram au hao alshabaab wanaowasumbua hapo kenya, mbele ya uislamu hao watu ni mbwa wa motoni na uislamu umewataja vibaya mno na kwa mujibu wa uislamu wanatakiwa kuuwawa kwani madhara yao kwa umma na jamii kwa ujumla ni makubwa mno, kwa kumalizia hao wahuni wanaofanya vitendo hivyo kwa kisingizio cha allahu akbar wako mbali na uislamu na uislamu u mbali mno na wao.
 
nmependa ulivyowakata midevu wenzio
 
din ya mnyaz mung inakutaka utulie hata ukionewa ? usiandamane sio ? [emoji23][emoji23][emoji23] hiyo ndo dini naitaka km ni kwel ila kemeeni akina Alshabab na Boko Haram
 
Hao wanaofanya vitendo vya kigaidi kwa jina la allah kuna maandiko katika msaafu wao wanaotumia na ndio inayowachochea kufanya huo unyama na cha ajabu wakishafanya hatuoni waislam wengine wakiwalaani..!!
 
din ya mnyaz mung inakutaka utulie hata ukionewa ? usiandamane sio ? [emoji23][emoji23][emoji23] hiyo ndo dini naitaka km ni kwel ila kemeeni akina Alshabab na Boko Haram
wala sio hivyo, ila inajali damu na heshima za watu sasa hapo iran hao waandamanaji wamepata faida gani!? sasa hicho ndio uislamu unakiepusha.

Boko haram na alshabaab na mfano wao wametahadharishwa sana kwenye jamii ya kiislamu na ndio maana huwa wanaanza na waislamu wakipata nafasi ya kufanya hivyo.
 
uislamu ni dini ina kanuni zake ambazo hakuna mtu anaruhusiwa kuzifanyia violation kwa namna yeyote.

Wengi mumedandia uislamu maana hamfuati maagizo yake, dini yenyewe na kivita vita na mauaji na wale huua ndio hufuata maagizo na kanuni zenyewe na hao ndio waislamu....

Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
mkuu kwanza nitake radhi mimi ni mtu ninayefuata uislamu katika kila hatua, tukirudi kwenye mada kwanza ufahamu kwamba aya za quran zina sababu ya kuteremeshwa na hizo ulizotaja zote zilikuwa na sababu na matukio maalumu, kwa kulikazia zaidi jambo aya hii hukuiona?!.

"Allah forbiddeth you not those who warred not against you on account of religion and drove you not out from your homes, that ye should show them kindness and deal justly with them. Lo! Allah loveth the just dealers."
quran 60:8
 
Mimi sikua mfuatiliaji wa uislamu, nilikua sina hata haja ya kujua dini yenu ikoje, ila kwa matukio ya waumini wake kukata watu vichwa mara wengine wajilipue mabomu, na sio wa taifa moja au ukanda mmoja, ni maeneo mengi duniani yenye waislamu, nikawa najiuliza lazima kuna maagizo kwenye hicho kitabu chenu kimesababisha huu uzombi wote.

Ndio kutafiti kidogo tu nikakutana na hizo aya zinazowaagiza waislamu wachinje wasio wa dini hiyo, na kweli hayo maagizo yanaendana na matukio yanayofanywa na waislamu wa mataifa tofauti hata wasiojuana, hivyo hata ukeshe humu huna lolote unaloweza kubadilisha maana nafuata matukio na hayo maagizo.

Kutafiti zaidi kidogo chimbuko la dini yenu nikakutana na taarifa za mtume wenu kugegeda katoto ka miaka tisa, na bila aibu waislamu wote mnatetea na kusema ni sawa alichokifanya huyo mzee, yaani nyie niliishia kuwadharau sana.
 
Back
Top Bottom