Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Alama za Nyakati ni taarifa za Maono ya Mambo yanayokuja, kuna kila dalili kwamba Joseph Mbilinyi anaandaliwa Jambo kubwa zaidi na Mungu
Huyu kwa sasa ni Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, ni Mwanasiasa ambaye hahitaji mambo mengi ili kufanikisha jambo lake, hana haja ya Matarumbeta, Mang'oma au Ipenenga (Wanyakyusa wananielewa), huyu ni jeshi la mtu mmoja.
Taarifa Mpya zinasema kwamba, NDIYE MWANASIASA ANAYEONGOZA KWA USHAWISHI MKOANI MBEYA, KWA MAANA YA MKOA MZIMA WA MBEYA.
Huu hapa ni Mkutano wake kwenye Stendi ya Kabwe Jijini Mbeya, Hakuna Mwanasiasa aliye hai leo Nchini Tanzania mwenye uwezo wa kujaza watu namna hii kwenye eneo hili, Na siyo kuwajaza tu bali kujaza watu wanaomsikiliza kwa dhati yote mpaka mwisho kabisa