Pre GE2025 Maelfu wahudhuria mkutano wa Joseph Mbilinyi (Sugu) Mbeya leo Julai 10, 2024

Pre GE2025 Maelfu wahudhuria mkutano wa Joseph Mbilinyi (Sugu) Mbeya leo Julai 10, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ninachoamini mimi Sugu hawezi kumshinda Dr. Tulia Mbeya huo ndio ukweli japo wafia vyama hawawezi kukubali yaani hata kura zikipigwa kwa kunyanyua vidole hadharani. Dr. Tulia kuna makurdi muhimu ya wanawake, na vijana kawashika vizuri mno hasa wana ccm wenzake ameweza kuwaunganisha.

Ni wazi kuwa ili Chadema ishinde ubunge sehemu yeyote ya nchii ni lazima kuwe na mgawanyiko ndani ya ccm hivyo baadhi yao kwa hasira watapigia upinzani wenye nafuu. Kwa sasa chadema mbeya na sehemu nyingi za nchi nguvu ya ushawishi imepungua tofauti na 15 kurudi nyuma.

Naona kabisa wapinzani wengi wakihamia ccm baada ya kukosa ubunge 2025 ili kusaka vyeo kwa kigezo cha meridhiano na hapo ndipo itakuwa mwisho wa upinzani then 2030 utaibuka upinzani mpya ambao utakuwa na nguvu karibu sawa na ccm na utakuwa ni wakizalendo zaidi.
Uwepo uchaguzi huru na wa haki tu.
 
Chadema ya sasa sio ile ya zamani mkuu utabisha tu ila ukweli unaujua. Itachukua muda chadema kuwa na mvuto kama ile ya Lowasa. Watu walidamka saa 11 usiku kwenda kupiga kura.
Kwani mimi nimebisha nini nimesema tu uchaguzi uwe huru na haki sijaongeza hata neno moja.
 
Ninachoamini mimi Sugu hawezi kumshinda Dr. Tulia Mbeya huo ndio ukweli japo wafia vyama hawawezi kukubali yaani hata kura zikipigwa kwa kunyanyua vidole hadharani. Dr. Tulia kuna makurdi muhimu ya wanawake, na vijana kawashika vizuri mno hasa wana ccm wenzake ameweza kuwaunganisha.

Ni wazi kuwa ili Chadema ishinde ubunge sehemu yeyote ya nchii ni lazima kuwe na mgawanyiko ndani ya ccm hivyo baadhi yao kwa hasira watapigia upinzani wenye nafuu. Kwa sasa chadema mbeya na sehemu nyingi za nchi nguvu ya ushawishi imepungua tofauti na 15 kurudi nyuma.

Naona kabisa wapinzani wengi wakihamia ccm baada ya kukosa ubunge 2025 ili kusaka vyeo kwa kigezo cha meridhiano na hapo ndipo itakuwa mwisho wa upinzani then 2030 utaibuka upinzani mpya ambao utakuwa na nguvu karibu sawa na ccm na utakuwa ni wakizalendo zaidi.
Sugu hategemei wapiga kura wa ccm, halafu hata kama Tulia atapigiwa kura na wanaccm wote Mbeya unaijua idadi yao?

Hamna haja ya kuhangaika na Uspika, Spika wa Tanzania siyo lazima awe Mbunge
 
Lissu nasikia amesusa anataka watu wagawane mbao ,Mbowe anataka kumpa sugu nafasi ya kugombea uraisi ila mpaka sasa sugu anahaha kuingiza bil 5 kwenye a/c binafsi ya Mbowe ndio maana sugu haishi kutembelewa na balozi wa marekani hizi za ndani mtupu mwepesi tu huwezi zipata!
Mbavu zangu mie....JF raha...Hivi tu Buku 7 na wewe..Matumizi mabaya hapo Lumumba
 
Alama za Nyakati ni taarifa za Maono ya Mambo yanayokuja, kuna kila dalili kwamba Joseph Mbilinyi anaandaliwa Jambo kubwa zaidi na Mungu

Huyu kwa sasa ni Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, ni Mwanasiasa ambaye hahitaji mambo mengi ili kufanikisha jambo lake, hana haja ya Matarumbeta, Mang'oma au Ipenenga (Wanyakyusa wananielewa), huyu ni jeshi la mtu mmoja.

Taarifa Mpya zinasema kwamba, NDIYE MWANASIASA ANAYEONGOZA KWA USHAWISHI MKOANI MBEYA, KWA MAANA YA MKOA MZIMA WA MBEYA.

Huu hapa ni Mkutano wake kwenye Stendi ya Kabwe Jijini Mbeya, Hakuna Mwanasiasa aliye hai leo Nchini Tanzania mwenye uwezo wa kujaza watu namna hii kwenye eneo hili, Na siyo kuwajaza tu bali kujaza watu wanaomsikiliza kwa dhati yote mpaka mwisho kabisa

View attachment 3038715View attachment 3038716View attachment 3038717
Usipoteze mda,Sugu hawezi kuwa Mbunge wa Mbeya
 
Back
Top Bottom