Pre GE2025 Maelfu wahudhuria mkutano wa Joseph Mbilinyi (Sugu) Mbeya leo Julai 10, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uwepo uchaguzi huru na wa haki tu.
 
Uwepo uchaguzi huru na wa haki tu.
Chadema ya sasa sio ile ya zamani mkuu utabisha tu ila ukweli unaujua. Itachukua muda chadema kuwa na mvuto kama ile ya Lowasa. Watu walidamka saa 11 usiku kwenda kupiga kura.
 
Chadema ya sasa sio ile ya zamani mkuu utabisha tu ila ukweli unaujua. Itachukua muda chadema kuwa na mvuto kama ile ya Lowasa. Watu walidamka saa 11 usiku kwenda kupiga kura.
Kwani mimi nimebisha nini nimesema tu uchaguzi uwe huru na haki sijaongeza hata neno moja.
 
Sugu hategemei wapiga kura wa ccm, halafu hata kama Tulia atapigiwa kura na wanaccm wote Mbeya unaijua idadi yao?

Hamna haja ya kuhangaika na Uspika, Spika wa Tanzania siyo lazima awe Mbunge
 
Mbavu zangu mie....JF raha...Hivi tu Buku 7 na wewe..Matumizi mabaya hapo Lumumba
 
Huyo anajua maana ya Huru na Haki, akipenda tunaweza kumwekea matokeo halali ya Ubunge wa Mbeya mjini 2020, atakimbia Jukwaa
Hawa hawafai kudorishiwa....dondosha hapa aende zake mazima.
 
Usipoteze mda,Sugu hawezi kuwa Mbunge wa Mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…