Maelfu waitwa kwenye usaili ajira za ualimu 2024

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Hatimaye mchakato wa kupata Majina ya waliofanikiwa kupenya katika Hatua ya usaili imekamilika, na Orodha hiyo tayari imetolewa ambapo mwombaji anatakiwa kuangalia status ya maombi yake katika account mtandao ya Ajira.

Aidha mwombaji anatakiwa kujiandaa vizuri katika usaili utakao fanyika baada ya wiki mbili kutoka Sasa kwani ushindani nimkubwa

Soma majina MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI AJIRA ZA UALIMU 2024
 
furusha ya kuingia kwenye mfumo wa ajira serikalini kwa jobless.
 
Nimeona kila somo wameita kivyake

Itakuaje mtu akifaulu somo moja kwenye mchujo, ataendelea na oral?
 
Siasa tu hiyo kwa ajili ya uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…