Maelfu waitwa kwenye usaili ajira za ualimu 2024

Maelfu waitwa kwenye usaili ajira za ualimu 2024

Hii ni furusha ya vijana kuharibu nauli zao wakiuelekea mchakato wa kusaka ajira...endeleeni kupambanaa mtaani ipo siku MUNGU atawafungulia njia...ila kupata ajira hizi ambazo walioitwa elfu 20..wanaotakiwa Mia mbili..🤣🤣🤣🤣
Ningumu Sana mkuu
 
Sasa mnaenda kugombea nafasi 184 watu 28,000 huku mkijua wazi watu 27,826 hawatopata 😁 dah hili nitatizo
 
Na hapo walikuwa Malaki walioomba hizo kazi kabla ya mchujo WA written
So unaweza pata picha hapo .
Hali ya ajira tz ni mbaya mno ,mbaya kuliko wanasiasa wapumbavu wanavyotaka kudanganya umma
 
Halafu anatokea zoba mmoja anaropoka "Tanzania hamna uhaba wa ajira "
 
Back
Top Bottom