Maelfu waitwa kwenye usaili ajira za ualimu 2024

Hapo watatoa ya masomo au na Yale ya chuo poa mbona kimbembe, ila haina shida kama ni machaguo tutabeti shida ni ya maelezo tu

Mkuu unafahamu kwamba wewe unaenda kufundisha watoto wetu? Itakuaje??
 
Pdf lenye majina limetoweka!! akaunti inakataa kufufunguka inasema INCORRECT LOG IN. Jamaa mmoja mwalimu mtarajiwa alilalamika!! Je wengine mnakutana na changamoto hiyo?
 
Pdf lenye majina limetoweka!! akaunti inakataa kufufunguka inasema INCORRECT LOG IN. Jamaa mmoja mwalimu mtarajiwa alilalamika!! Je wengine mnakutana na changamoto hiyo?
Kama umeshaona jina lako na application status yako, unahangaika ku log in ili kufanya nini cha muhimu sana kwa leo ?
 
Hii ni furusha ya vijana kuharibu nauli zao wakiuelekea mchakato wa kusaka ajira...endeleeni kupambanaa mtaani ipo siku MUNGU atawafungulia njia...ila kupata ajira hizi ambazo walioitwa elfu 20..wanaotakiwa Mia mbili..🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…