Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
AmenRaha ya milele uwape Ee Bwana, na mwanga wa milele uwaangazie.... wapumzike kwa AMANI.
Ni kweli ila cha kushangaza hawakutoa sadaka!Nimeona na mapolisi nao wapo kwenye ibada wanaomboleza
Wamekuja kulinda amani.Ni kweli ila cha kushangaza hawakutoa sadaka!
Picha hapo juu zote sio za leo.Nimeona na mapolisi nao wapo kwenye ibada wanaomboleza
Ibada kabambe sana, nimehudhuria kwenye Kanisa Katoliki hapa Kyela, ikumbukwe Kyela vijana wanaokadiriwa kufikia 500 waliuawa huku maelfu ya Pikipiki zao zikichomwa moto na PolisiMaaskofu wanakabia juu sana,...Kazi nzuri Kwa kweli
Hata zingekuwa za kipindi cha ukoloni, Haiondoi ukweli kuwa maelfu wamejitokeza kushiriki misa ya kuwaombea Marehem wale mliowapa ulemavu kwa tamaa ya madarakaPicha hapo juu zote sio za leo.
Sawa. Na kama walihudhuria kwa wingi kwanini kutumia picha feki? Ahahahahaha!!Hata zingekuwa za kipindi cha ukoloni, Haiondoi ukweli kuwa maelfu wamejitokeza kushiriki misa ya kuwaombea Marehem wale mliowapa ulemavu kwa tamaa ya madaraka
HayaPicha hapo juu zote sio za leo.
kwahiyo ni za ****** wako?Picha hapo juu zote sio za leo.
Sio za leo! Period! Na usiniguse kwenye matusi. Mimi ni muumini wa "An eye for an eye"!kwahiyo ni za ****** wako?