sana. upo wakati unakuja hii siku itap[ewa heshima inayostahiliSema tunaichukulia poa. Ila siku ngumu sana
sana. upo wakati unakuja hii siku itap[ewa heshima inayostahiliSema tunaichukulia poa. Ila siku ngumu sana
chekaaaa kwa nguvu kabisa maana ni wakati wako huu kucheka. ipo siku na sisi tyunaoomboleza leo tutachekaaaaa tunacheka mpaka tutagalagala chini . sasa tumia wakati wako huu vizuri kucheka
Duniani kote usipotii sheria bila shuruti, unaomboleza na wa kwako tu!chekaaaa kwa nguvu kabisa maana ni wakati wako huu kucheka. ipo siku na sisi tyunaoomboleza leo tutachekaaaaa tunacheka mpaka tutagalagala chini . sasa tumia wakati wako huu vizuri kucheka
Unaonaje ukaanzishie uzi hii mada yako huko pembeni!🙄🚮Sisi Zanzibar mpaka leo tunalia . Nchi yetu bado mumeiteka watanganyika
ni suala la muda tu.Duniani kote usipotii sheria bila shuruti, unaomboleza na wa kwako tu!
They dont care na ndio wahusika na wanatamani watu wasahau lakini wapi
Anzisha weweUnaonaje ukaanzishie uzi hii mada yako huko pembeni!🙄🚮
Hakika Maombolezo ya waliouawa kikatili octoba 29 2025, yametikisa kote duniani
Nchini Tanzania pamoja na vitisho vyote vya Jeshi la Polisi, maelfu ya waombolezaji wamejitokeza kwenye nyumba za ibada bila uoga wowote, na kushiriki kikamilifu misa hiyo Takatifu
Tunamshukuru Mungu kwa Wema wake.
Jambo pekee lililoshangaza hata wageni ni kuona Bendera zote zikiwemo za Kibalozi zikipepea Nusu mlingoti huku ya Tanzania ikipepea mlingoti mzima (Aibu) kama vile waliouawa ni kutoka Taifa lingine
View attachment 3700889View attachment 3700892View attachment 3700893View attachment 3700894View attachment 3700895View attachment 3700896View attachment 3700898
MWENYEZI MUNGU AZIPOKEE ROHO ZA WOTE WALIOUAWA KIKATILI NA WALE WALIOZIKWA KWENYE KABURI LA JUMUIYA KUNDUCHI KWA KONDO, AMINA
Anzisha wewe
📌📌📌Haihitaji kuwa na akili nyingi. Tumia hata hizo akili chache ulizopewa za kuvukia barabara.
Anzishia uzi wako mpeane pole huko.
Huu ni uzi wa kutoa pole kwa zile familia zilizopoteza wapendwa wao. Hivyo heshimu hisia za watu. Kenge wewe
Walishatoa sadaka ya damu hao wasije wakaleta laana kwenye masanduku ya sadaka za waumini.Ni kweli ila cha kushangaza hawakutoa sadaka!
Hata sisi Zanzibar hatujasahau na zaidi kuwa mumeichukuwa nchi yetu na kuifanya ngawira , ndio kabisa hatuwezi kusahau
hahaha wanafosiPicha hapo juu zote sio za leo.
Kumbe ni wazanzibar mlikuwa mnalipa kisasi?Leo mnaumia , Mlipokuja huku kwetu mkatuulia watu wetu 1964 na kuendelea mlifikiri ni sawa tu , yaani mkuki ni kwa wazanzibari tu kwa watanganyika ni mchungu ?? Wacha Karma iwatese na nyinyi sasa
HahahahaahNi kweli ila cha kushangaza hawakutoa sadaka!
Zanzibar ina ngawila gani? Tuwe serious wakati mwingine. kama mngekuwa na best options or alternatives, mngezingua sana. Kwa sasa mkojaribu mtakufa njaa
Kumbe ni wazanzibar mlikuwa mnalipa kisasi?
Samia shetani kwelikweli.
Wacha tusubiri.ni suala la muda tu.