Hakika Maombolezo ya waliouawa kikatili octoba 29 2025, yametikisa kote duniani
Nchini Tanzania pamoja na vitisho vyote vya Jeshi la Polisi, maelfu ya waombolezaji wamejitokeza kwenye nyumba za ibada bila uoga wowote, na kushiriki kikamilifu misa hiyo Takatifu
Tunamshukuru Mungu kwa Wema wake.
Jambo pekee lililoshangaza hata wageni ni kuona Bendera zote zikiwemo za Kibalozi zikipepea Nusu mlingoti huku ya Tanzania ikipepea mlingoti mzima (Aibu) kama vile waliouawa ni kutoka Taifa lingine
View attachment 3700889View attachment 3700892View attachment 3700893View attachment 3700894View attachment 3700895View attachment 3700896View attachment 3700898
MWENYEZI MUNGU AZIPOKEE ROHO ZA WOTE WALIOUAWA KIKATILI NA WALE WALIOZIKWA KWENYE KABURI LA JUMUIYA KUNDUCHI KWA KONDO, AMINA