PostGE2025 Maelfu Wajitokeza kwenye Misa ya Maombolezo wakiwemo Polisi, Bendera zote zapepea Nusu Mlingoti kasoro Bendera ya Tanzania Pekee

PostGE2025 Maelfu Wajitokeza kwenye Misa ya Maombolezo wakiwemo Polisi, Bendera zote zapepea Nusu Mlingoti kasoro Bendera ya Tanzania Pekee

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hakika Maombolezo ya waliouawa kikatili octoba 29 2025, yametikisa kote duniani

Nchini Tanzania pamoja na vitisho vyote vya Jeshi la Polisi, maelfu ya waombolezaji wamejitokeza kwenye nyumba za ibada bila uoga wowote, na kushiriki kikamilifu misa hiyo Takatifu

Tunamshukuru Mungu kwa Wema wake.

Jambo pekee lililoshangaza hata wageni ni kuona Bendera zote zikiwemo za Kibalozi zikipepea Nusu mlingoti huku ya Tanzania ikipepea mlingoti mzima (Aibu) kama vile waliouawa ni kutoka Taifa lingine

View attachment 3700889View attachment 3700892View attachment 3700893View attachment 3700894View attachment 3700895View attachment 3700896View attachment 3700898

MWENYEZI MUNGU AZIPOKEE ROHO ZA WOTE WALIOUAWA KIKATILI NA WALE WALIOZIKWA KWENYE KABURI LA JUMUIYA KUNDUCHI KWA KONDO, AMINA
Ushabiki wa kitooto huu. Then what!
 
Sema tunaichukulia poa. Ila siku ngumu sana
Mimi wakati narudi home asbh nikaona hao maaskari wamezagaa sana kwenye round abouts, wana mitutu wanageuka huku na kule, halafu raia wachache, nikaikumbuka ile siku aki nimedondosha chozi! Kama uko timamu na una moyo wa kibinadamu, hii hali haifurahishi hata kidogo 😪
 
Back
Top Bottom