Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu huwa nawashangaa jinsi walivyowekeza kwenye ushabiki wa mpiraHao wanao kusanyika asubuhi hii hawana kazi za kufanya
pale fire hakuna miti mirefuNafurahi kusikia uto wanalia huko jangwani natamani ningekuwa Dar niende pale Fire nijifiche hata juu ya mti niwachungulie uto wanavyolia
Wakongwe wamenielewa kusema nipande mti pale kuwachungulia watu wa jangwani maana sijaisema picha ya leo ya FIRE Ila naisema picha ya FiRE na jangwani kipindi hiko ambacho raisi nyerere alikuwa anakuja shuleni kwetu kuhudhuria kikao Cha wazazi ,upo hapo bwana Uto ?pale fire hakuna miti mirefu
Wewe unaweza kufanyakazi na Manara?Watu makini wangeshatengeneza namna ya kuwabakisha wote kisha pumba na mchele vingejichuja tu vyenyewe hapo mbeleni...
Unaunda nafasi, unam-promote Ali kutokana na shule yake, Manara chini ya Ali, game over
Issue ni kwamba hatumtaki Manara fullstop.Duh Ila Haji Aombee Yanga ifanye vizuri this season,ikiboronga sababu watasema yeye ana mikosi ni kirusi.
Nawajuamashabiki wabongo
Sasa Kama Walisema Wenye Akili Ni Wawili Ujue Wazi Wengi Huko Ni WehuKwani kazi nyingine hamna .mpaka kumfanyia UBAYA mtoto wa watu.
Usemaji sio AJIRA manara tafuta kazi
Karudi kwenye nafasi yake,kapewa mkataba wa miaka miwili.Furaha za ushindi wa yanga jana dhidi ya Kaizer Chief zimeingia dosari kufuatia sintofahamu ya afisa habari wa klabu hiyo kutoa chapisho lenye utata.
Maelfu ya mashabiki na wanachama wamekusanyika nje ya klabu yao asubuhi hii mitaa ya Jangwani na Twiga,mazungumzo yanayotawala ni kuhusu Alli Kamwe
..tutaendelea kuwajuza
VIlio vya majobless vimesaidiaKarudi kwenye nafasi yake,kapewa mkataba wa miaka miwili.
View attachment 3055935
Yanga ina watu tena watu haswa sio wa kuungaunga.VIlio vya majobless vimesaidia