Duh bangi buana....Teketeza kbs magaidi hayo [emoji16][emoji16] wakimaliza hyo waje na operation tokomeza vipedo na kobazi
Aibu Tena sio kama hamas ndio wanaona aibu kuwaingiza mamilion ya watu wapalestina matatizon sasa wao na raia wote hawana pakuishUlitaka akubali kitu ambacho ajakifanya.Hamas wametumia madhaifu ya jeshi la Israel kufanya uvamizi.
Kila mtu watamuona mbaya mwaka huu.kila mtu wanamshika uchawi kuhusu kuwasaidia Hamas.hii aibu ni ngumu kufutika bali itadumu kizazi na kizazi
Wewe siku zinakuja hutaonekana kabisa humu na labda hata msikitini hutaenda kwa maana utahoji uwezo wa allah kuwalinda wale wanaojitolea mhanga kumpigania kama anavyolazimisha apiganiwe.Kwa hiyo ulitaka akili kitu ambacho hajafanya? hata Marekani alisema ya kuwa hakuna ushahidi wowote unao ihusisha Iran na ambush hiyo na wala ilikuwa haijui chochote kuhusu ambush hiyo hata wao iliwashutua.
Shambulizi hilo limesababishwa na udhaifu wa vitengo vya usalama na integensia ya Israel msilete visingizio.
Hata kama angekuwa amehusika wange mfanya nn? Yakwamba Israel ingeishambulia Iran[emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ww nakuona unaleta mizaa na utani aisee.
Hii Israel ambayo ina pambana na Hamas ndani ya wiki moja tu imesha anza kuomba misaada ya silaha kutoka Marekani na sasa hivi nasikia Marekani imetuma kikosi cha delta kuja kuisaidia kwenye mashambulizi ya ardhini.
Israel hii ambayo imekusanya wanajeshi laki 3 na nusu kwenda kupambana na wanamgambo wasio zidi 20,000 wasio miliki silaha yeyote zaidi ya bunduki na viroketi vya kutengeneza kienyeji ndo aje kupambana na jeshi la Iran lenye kila aina ya silaha za kimamboleo?
Kama ni kushiriki vita sio razima apeleke wanajeshi anaweza kuwa anatoa silaha kwa hamas kama anavyo fanya Marekani nchi Ukraine ,na hata asipo saidia hiyo ni juu yake kwa sababu sio razima ashiriki katika kila mzozo hali ya kuwa hana maslahi nao.
Maana yake Israel watapata eneo lao kirahisi, vita itakwishaSasa hata raia wakiondoka hao hammas siwatajichanganya na raia na wenyewe wataondoka nao
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Nimepata kitu , dawa ni moja raia kuama , ili eneo husika pasiwepo cha gof pawe flatShambulio lililofanywa na Hamas ni historical,
Wameuwa maelfu na kuchukuwa mateka waisrael wasiokuwa na idadi
Haijawahi tokea toka kuanzishwa kwa taifa la Israel. ...
Maswali::
1. Dunia nzima wanajiuliza (including waisrael wenyewe) Hamas wanajiamini nini kwa kufanya uchokozi mkubwa katika historia ya chokozi zote duniani (911 included) ..hasa ukizingatia huko nyuma vita baina yao ilisababishwa na kisa kidogo sana( kumteka mwanajeshi wa Israel mmoja)
2.Mossad ....ni shirika la kijasusi la Israel ambalo linasemekana ndio lenye uwezo na utaalamu wa mambo ya kijasusi kuliko mashirika yote duniani" limefelije kujua mpango wa uvamizi wa Hamas? ...na nini kingine hawakijui ...maana isijekawa trap iliyoratibiwa na kuandaliwa vizuri
3. Bombing Gaza ni kitu cha kawaida kwa waPalestina, kuingia vitani mtaa kwa mtaa Gaza ni mission ngumu sana kwa waisrael kwani hakuna Frontline maalumu ni vita vya kuoteana (urban gorilla warfare )....ila mwenyeji obviously will have upper hand kwa sababu ya familiarity with location &terrains. . ... je kuna appetite ya kutosha?
4. Wakisha ingia Gaza, what is the endgame, km vita ikienda ndivyo sivyo" what is the plan B
5. pamoja na Israel kuwa na silaha za kisasa sana za kivita.....are its soldiers are gorilla battle hardened? ...maana kuna tetesi zile njemba za Hizbu ambazo zimezoea shughuli pevu toka Syria zimeingia kitambo...
Haya maswali yanahitaji cooler& sober mind kuyajibu kwanza kwa ufasaha kabla ya kuingia kwenye huu mwaliko wa vita Gaza.
Nb. Naomba niwakumbushe wakristo wenzangu taifa la Mungu la israel sio hili linaloongozwa na Bibi...
Tuendelee kumuomba Mungu awanusuru wote kwenye kwenye hili janga ambalo hakuna anayejua mwisho wake.
Kutii ni bora kuliko dhabihu. Watoto wa Yakobo wamefanya kazi nzuri kabisa, kobazi zimechapika kweli kweli. Ashukuriwe Mungu wa Abraham, isaka na Yakobo.Israel inataka kufanya operesheni ambayo haijashuhudiwa siku nyingine, wanajeshi 300,000 watafanya uvamizi ambao utahusu kufagia choko choko zote za huo ukanda. Raia waliamrishwa wahamie Kusini ili atakayebaki hapo ataonwa kama mpiganaji, hivyo itamhusu.
Kitu wengi wasichokifahamu, hao wanajeshi 300,000 sio wa kawaida, ni aina ya watu ambao wapo tayari kujitoa mhanga maana nchi yao na vizazi vyao siku zote huwa kwenye hatari ya kufutwa na waarabu ambao huongozwa na chuki za dini, hivyo hawa Wayahudi wanataka kuingia kwenye ukombozi kwa ajili ya mama zao, watoto wao, familia zao, yaani wana mzuka balaa, na kuna wengi wamerudi kutoka mataifa ya mbali kwa ajili ya hii operesheni.
Kwa hivyo wazee wa kujitoa mhanga kisa dini wanakwenda kupambana na wanajeshi ambao wapo tayari kujitoa mhanga mara kumi yao, ambao kifo kwao sio issue, kama ni uchizi na wao wamechizi mara kumi, hamna jipya.....yetu macho maana dunia inakokwenda sio kabisa.
=============================
Nearly 1,900 Gazans have been killed in waves of Israeli missile strikes.
As Israel's deadline for Palestinians to evacuate the Gaza strip is approaching, thousands of Gazans are fleeing their homes fearing the deadliest ground offensive they have ever witnessed in their lives. Israeli PM Benjamin Netanyahu warned that Israel's week-long retaliation against Hamas' "surprise" attack last week was "just the beginning". Over a million Gazans face a 24 hours deadline on Friday to flee to the south even as many chose to stay back as Hamas has vowed to dug its heels in and fight "to the last drop of blood". Ahead of the deadline ending, Israeli forces made "localised" raids in Gaza in the last 24 hours "to cleanse the area of terrorists" and try to find "missing persons".
Israel-Hamas War LIVE: Israel Strikes Killed 9 Hostages In Past 24 Hours, Says Hamas
Israel-Hamas War Live Updates: Israeli Defence Forces have issued a fresh warning to Palestinians in Gaza, telling the residents to leave their homes and not return till further notice as Israel mounts its biggest counteroffensive on Gazan soil.www.ndtv.com
Ni sawa na kuwaambia watu wa Dar wote wahame ndani ya masaa24, watakuuliza' tuhamie wapi?....Nimepata kitu , dawa ni moja raia kuama , ili eneo husika pasiwepo cha gof pawe flat
Kiongoz wao yuko Doha Qatar anakula bata hotelin. Wakati masikin wa kipalestina aliowasababishia msala wanateketea.Israel inataka kufanya operesheni ambayo haijashuhudiwa siku nyingine, wanajeshi 300,000 watafanya uvamizi ambao utahusu kufagia choko choko zote za huo ukanda. Raia waliamrishwa wahamie Kusini ili atakayebaki hapo ataonwa kama mpiganaji, hivyo itamhusu.
Kitu wengi wasichokifahamu, hao wanajeshi 300,000 sio wa kawaida, ni aina ya watu ambao wapo tayari kujitoa mhanga maana nchi yao na vizazi vyao siku zote huwa kwenye hatari ya kufutwa na waarabu ambao huongozwa na chuki za dini, hivyo hawa Wayahudi wanataka kuingia kwenye ukombozi kwa ajili ya mama zao, watoto wao, familia zao, yaani wana mzuka balaa, na kuna wengi wamerudi kutoka mataifa ya mbali kwa ajili ya hii operesheni.
Kwa hivyo wazee wa kujitoa mhanga kisa dini wanakwenda kupambana na wanajeshi ambao wapo tayari kujitoa mhanga mara kumi yao, ambao kifo kwao sio issue, kama ni uchizi na wao wamechizi mara kumi, hamna jipya.....yetu macho maana dunia inakokwenda sio kabisa.
=============================
Nearly 1,900 Gazans have been killed in waves of Israeli missile strikes.
As Israel's deadline for Palestinians to evacuate the Gaza strip is approaching, thousands of Gazans are fleeing their homes fearing the deadliest ground offensive they have ever witnessed in their lives. Israeli PM Benjamin Netanyahu warned that Israel's week-long retaliation against Hamas' "surprise" attack last week was "just the beginning". Over a million Gazans face a 24 hours deadline on Friday to flee to the south even as many chose to stay back as Hamas has vowed to dug its heels in and fight "to the last drop of blood". Ahead of the deadline ending, Israeli forces made "localised" raids in Gaza in the last 24 hours "to cleanse the area of terrorists" and try to find "missing persons".
Israel-Hamas War LIVE: Israel Strikes Killed 9 Hostages In Past 24 Hours, Says Hamas
Israel-Hamas War Live Updates: Israeli Defence Forces have issued a fresh warning to Palestinians in Gaza, telling the residents to leave their homes and not return till further notice as Israel mounts its biggest counteroffensive on Gazan soil.www.ndtv.com
Hatari sanaNi sawa na kuwaambia watu wa Dar wote wahame ndani ya masaa24, watakuuliza' tuhamie wapi?....
Ukiwajibu around eneo la uwazi la Mikese ..watakuuliza tutaishije?
..ukishindwa kuwajibu watabaki hapo hapo.
Huko Gaza wapo walioondoka, wapo watakaobaki mpaka mwisho....km Ukraine tu.
Acha ufala vita sio kuchaza sindimba na ndio maana mpaka sasa Israel haijaingia gaza amekalia kurusha mabomu hovyo hovyo tu kutoka mbali.Wewe siku zinakuja hutaonekana kabisa humu na labda hata msikitini hutaenda kwa maana utahoji uwezo wa allah kuwalinda wale wanaojitolea mhanga kumpigania kama anavyolazimisha apiganiwe.
Mkuu hiyo ndio siasa hata upande wa Israel iwapo wataanza vita ya ardhini kuna wanajeshi kibao watapitia matatizo makubwa na vifo wakati Netanyau atakuwa Telavivu ana chakata mbususu ya mkewe.Kiongoz wao yuko Doha Qatar anakula bata hotelin. Wakati masikin wa kipalestina aliowasababishia msala wanateketea.
Huwajui Jews wewe. Wao wanapambana ni either wafe au wapone. Kuna wakati ikifika utawaona front kila mtu. Maana wakichemka hapo hawana pengine pa kwenda. Jews around the world wako njian wote kupigania taifa laoMkuu hiyo ndio siasa hata upande wa Israel iwapo wataanza vita ya ardhini kuna wanajeshi kibao watapitia matatizo makubwa na vifo wakati Netanyau atakuwa Telavivu ana chakata mbususu ya mkewe.
Ya kwamba Netanyau atakuwa moja wapo ya watakao kwenda gaza kupambana na hamas au unamanisha nn?Huwajui Jews wewe. Wao wanapambana ni either wafe au wapone. Kuna wakati ikifika utawaona front kila mtu. Maana wakichemka hapo hawana pengine pa kwenda. Jews around the world wako njian wote kupigania taifa lao
[emoji845][emoji1134][emoji3538][emoji1193] Photos of the destroyed IDF CH-53D helicopter that was destroyed exactly a week ago. #IsraelPalestineConflict #Palestine #HamasIsrael inataka kufanya operesheni ambayo haijashuhudiwa siku nyingine, wanajeshi 300,000 watafanya uvamizi ambao utahusu kufagia choko choko zote za huo ukanda. Raia waliamrishwa wahamie Kusini ili atakayebaki hapo ataonwa kama mpiganaji, hivyo itamhusu.
Kitu wengi wasichokifahamu, hao wanajeshi 300,000 sio wa kawaida, ni aina ya watu ambao wapo tayari kujitoa mhanga maana nchi yao na vizazi vyao siku zote huwa kwenye hatari ya kufutwa na waarabu ambao huongozwa na chuki za dini, hivyo hawa Wayahudi wanataka kuingia kwenye ukombozi kwa ajili ya mama zao, watoto wao, familia zao, yaani wana mzuka balaa, na kuna wengi wamerudi kutoka mataifa ya mbali kwa ajili ya hii operesheni.
Kwa hivyo wazee wa kujitoa mhanga kisa dini wanakwenda kupambana na wanajeshi ambao wapo tayari kujitoa mhanga mara kumi yao, ambao kifo kwao sio issue, kama ni uchizi na wao wamechizi mara kumi, hamna jipya.....yetu macho maana dunia inakokwenda sio kabisa.
=============================
Nearly 1,900 Gazans have been killed in waves of Israeli missile strikes.
As Israel's deadline for Palestinians to evacuate the Gaza strip is approaching, thousands of Gazans are fleeing their homes fearing the deadliest ground offensive they have ever witnessed in their lives. Israeli PM Benjamin Netanyahu warned that Israel's week-long retaliation against Hamas' "surprise" attack last week was "just the beginning". Over a million Gazans face a 24 hours deadline on Friday to flee to the south even as many chose to stay back as Hamas has vowed to dug its heels in and fight "to the last drop of blood". Ahead of the deadline ending, Israeli forces made "localised" raids in Gaza in the last 24 hours "to cleanse the area of terrorists" and try to find "missing persons".
Israel-Hamas War LIVE: Israel Strikes Killed 9 Hostages In Past 24 Hours, Says Hamas
Israel-Hamas War Live Updates: Israeli Defence Forces have issued a fresh warning to Palestinians in Gaza, telling the residents to leave their homes and not return till further notice as Israel mounts its biggest counteroffensive on Gazan soil.www.ndtv.com
Wee unaona yanarushwa hovyoeeeAcha ufala vita sio kuchaza sindimba na ndio maana mpaka sasa Israel haijaingia gaza amekalia kurusha mabomu hovyo hovyo tu kutoka mbali.
Kuna Vita isiyo na vifo!?Mkuu hiyo ndio siasa hata upande wa Israel iwapo wataanza vita ya ardhini kuna wanajeshi kibao watapitia matatizo makubwa na vifo wakati Netanyau atakuwa Telavivu ana chakata mbususu ya mkewe.